Mapambano Bakhmut yanaendelea, licha ya Wagner kutafuta pakutokea kwa kujitangazia ushindi

Kwa akili yako mpk leo hujiuliz wapo wap hao chen chen mliwapamba wapo wapi warusi walioingia na maparachuti yupo wapi yule mjeda wenu mlisema ndo alikuwa kiboko kule syria , leo tunaona wagner pia wanatoka , ila vichaa hawajiongez kujua kuwa hali ni mbaya kwa Urusi
Wewe kweli hata hutumii akili kwani kuondoka inamaanisha hali mbaya?inamaanisha wamemaliza mission sasa wanawachia wanajeshi wa nchi walinde nchi yao
 
Jiongeze asee Urus alivamia Ukraine kwa vikosi vyake mara wakaja chenchen mara syria ikatoa wanajeshi mara tukasikia kamanda aliyepigana syria , mara kazi wakapewa wagner , hizi ngonjera zote hazikufungui ubongo wako mdgo ? Mbona sijawai sikia wapiganaj wowote upande wa Ukraine ? Sitak uniambie sijui NATO maana huna ushaidi mbali na umbeya
 
International Legion unadhani ilikuwa ni nini?
Kwamba Wapoland, Wacanada, Wamarekani, Waingereza kwako wote ni askari wa Ukraine?
Achilia mbali Military adviser kutoka Mataifa yote ya Ulaya.

Kwanza Wachechen au Wachechnya kwa kiswahili ni Warusi kama ilivyo kwa Wahehe na Utanzania.

Pili kamanda aliyetolewa Syria ni kamanda wa kirusi aliyeisaidia Syria kusimama na kuwapiga magaidi ISIS-L waliopandikizwa na Wamarekani.

Tatu Lete ushahidi unaonyesha Syrian foot soldier walioenda kupigana Ukraine kama part ya sehemu ya jeshi la Urusi.

Kuhusu Wagner au Vagner hii ni kampuni ya Ulinzi Ipo kule Urusi au wanapenda kuiita kwenye lugha ya Mkoloni Military Contractor ambao kule Ulaya na Marekani wanao Black Water, Academy na wengineo.

Ila tofauti yake hawa ni Bora zaidi na wameweka historia ya kulipiga professional army na wao ni kampuni tu kama kkk security wetu hapa bongo.

Kumbuka hilo jeshi limefunzwa kwa ubora wa Nato standard kwa muda usio pungua miaka name(8) na kupewa kila silaha ya kisasa ila jamaa wametumia majembe na machepeo na kuwashinda[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kajaribishe huo upuzi wenu kwa Wamaasai au mikoani popote uone kitakacho kutokea, myafanye huko na mbaki huko.
Mwakiembe anajua mchezo wenu inasikitisha sana
 
Kwa akili yako mpk leo hujiuliz wapo wap hao chen chen mliwapamba wapo wapi warusi walioingia na maparachuti yupo wapi yule mjeda wenu mlisema ndo alikuwa kiboko kule syria , leo tunaona wagner pia wanatoka , ila vichaa hawajiongez kujua kuwa hali ni mbaya kwa Urusi
Sasa kama wamemaliza kazi yao unataka Wagner waendelee kukaa pale? wanakwenda kwenye kazi nyingine Bakhmut ni Russia kwasasa
 
Wamekimbia, wametupisha tuendelee sisi kuchinja Warusi, ila sijui wanafia nini maana sio kama wale wenu hifia mabikira.
 
Kazi ya utawala ni ya warusi sio wagner, wale wamesha kabidhi mji wanakwenda sehemu nyingine kuichukua kama Bakhmut
 
Warusi walishindwa ikabidi waombe Wagner, nao Wagner wamekimbia sasa Warusi wamebaki wachinjwe wenyewe.
Naona mkuu wenu mwingine huku anapokea mapigo, hiyo dini bana Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria
Wagner kazi yao kukomboa mji sio utawala si wanalipwa shida iko wapi? Bakhmut ipo chini ya Urusi kwasasa wale wagner wanapewa kazi nyingine wale wapo sana, hao Israel kama wana ubavu wavamie Iran kama Urusi alivyo vamia Ukraine, sio hizo kelele
 
Wagnaer kazi yao ni kufa kama mizoga, sasa wameshindwa kuendelea kufa wameona isiwe tabu wakaachia Warusi wajifie.
 
Tuonyeshe Bakhmut una miliki nini? hii ndio kazi ya Wagner sasa, kufa kawaida uwanja wa vita au Ukraine watu halafu? muhimu Bakhmut kwasasa ni sehemu ya Urusi
 
Bakhmut inamilikiwa na wazawa, imeanza kuwatoka puani baada ya Wagner kutoroka.
 
Back
Top Bottom