Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Upinde umejaa BRICSUpinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinde umejaa BRICSUpinde
Wazawa wapi wakati ni mali ya Urusi kwa sasa, tunataka. kupeleka polisi hili shughuli za kiraia zirudi , baada ya wajeshi kusimika mipakaBakhmut inamilikiwa na wazawa, imeanza kuwatoka puani baada ya Wagner kutoroka.
Mapambano yapi wakati mji wa Bakmut upo UrusiMrusi kwa sasa ameachwa wazi achinjwe maana mizoga imekimbia mapambano.
Mapambano yapi wakati mji wa Bakmut upo Urusi
Habari hii umeitoa wapi?Waambie huko wanakokimbilia Moscow baada ya kushindwa Bakhmut tayari drones zinapiga sasa, na viwanda vya mafuta Kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Urusi chalipuliwa na drones
Habari hii umeitoa wapi?
Kumbe hakuna cha maana mimi nilijua madhara ni makubwaAzima MBs ufuate huku Drones attack Russian oil refineries near major oil port, officials say
Kumbe hakuna cha maana mimi nilijua madhara ni makubwa
Sasa hiyo si drone ina husika vip na Bakhmut ? shida yako hujui kusimamia unacho kiteteaHehehe endelea kuhesabu tu, sasa lizee lenu limeikimbia Bakhmut naona linatukana baada ya kugundua Moscow inafikiwa na kupigwa na drones Mkuu wa Wagner atokwa matusi baada ya drones za Ukraine kupiga Moscow
Sasa hiyo si drone ina husika vip na Bakhmut ? shida yako hujui kusimamia unacho kitetea
Kweli sio ajenda maana kwasasa ni sehemu ya Urusi, na hakuna mzoga hata mmoja wa Ukraine waliokufa wote ni Wagner maana akili yako haina akiliBakhmut sio ajenda tena maana mizoga imeikimbia, ni mwendo wa Warusi kujifia, inabidi niendelee kuwapa updates za supapawa wenu anavyolizwa na drones ndani.
Kweli sio ajenda maana kwasasa ni sehemu ya Urusi, na hakuna mzoga hata mmoja wa Ukraine waliokufa wote ni Wagner maana akili yako haina akili