Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
utamaliza vp na ni mpango mkakati? Uwepo wa hivyo vikundi ni mkakati wa waliopo madarakaniMliwatimuaje?? Ile ni vita ya kikabila so unless uteketeze kabila Zima basi fahamu tu huwezi maliza M23 kama ambavyo huwezi imaliza FDLR. Zitabadili majina tu ila vitakuwepo.
Kagame ni paka jeusi. Jiwe + Kagame = Putin. HQ ni motoni.Msemaji wa FARDC Kanali Ndjike Kaiko amesema mapambano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kundi la waasi lijulikanalo kama “The March 23 Movement” (M23) yameanza tena mapema jana huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Kanali Kaiko amesema FARC ilianza kufanya mashambulizi dhidi ya Kundi la M23 kuanzia Jumapili asubuhi katika eneo la Rutshuru mkoani Kivu Kaskazini, ambapo Jeshi la DRC linaendelea kuongoza dhidi ya maadui wao.
Jeshi la taifa linataka kumaliza unafiki wa waasi wa M23 kwa njia timilifu, kwasababu waasi hao hawataki kutimiza amani kwa dhati. Kutokana na kurejeshwa kwa operesheni hizi, jeshi la taifa litadhibiti tena vilima vinavyotumiwa na waasi kama kituo chao, na kuwaletea tena wananchi amani.
Kama kitu gani?Kuna kitu Kagame hataki kiwepo huko Drc mashariki ndio maana kila mara anaanzisha uasi mpya, kipi hicho anachokihofia.
mtu chake
FDLRKuna kitu Kagame hataki kiwepo huko Drc mashariki ndio maana kila mara anaanzisha uasi mpya, kipi hicho anachokihofia.
mtu chake
Mkuu huyu Moise Katumbi ana connection yoyote na Moise Tshombe aliyetaka kuitenga Katanga liwe taifa huruJkk jr na moise katumbi.last sunday
watoto wa katanga
Uasi dhidi ya utawala wake unaoweza kuanzia huko.Kama kitu gani?
connection ya vp?undugu au biashara? Najua wote ni wakatangee/lubaMkuu huyu Moise Katumbi ana connection yoyote na Moise Tshombe aliyetaka kuitenga Katanga liwe taifa huru
sawa sawaUasi dhidi ya utawala wake unaoweza kuanzia huko.
Huenda Kabila akarejea nini kwenye siasa za Drc ?Jkk jr na moise katumbi.last sunday
watoto wa katanga
kuanzishwa na Nani?Uasi dhidi ya utawala wake unaoweza kuanzia huko.
Wapinzani wake na mahasimu wakekuanzishwa na Nani?
Kwa miaka karibu 30 hao waasi wamefanya kitu gani Cha maana cha kutikisa utawala wake?Wapinzani wake na mahasimu wake
Hao waasi hawana nguvu za kumpindua ila uwepo wao karibu na nchi yake kunamnyima usingizi kwa hofu huenda wakajijenga siku moja na kumvamia.Kwa miaka karibu 30 hao waasi wamefanya kitu gani Cha maana cha kutikisa utawala wake?
Hahah wanamnyima usingizi au hua anapata sababu ya kuingia Congo kufanya anachofanyaga miaka yote?Hao waasi hawana nguvu za kumpindua ila uwepo wao karibu na nchi yake kunamnyima usingizi kwa hofu huenda wakajijenga siku moja na kumvamia.
Ndio maana haachi kuanzisha Vita huko Kivu.
Richard zitto junior mtu chake
Ina maana na yeye anataka waendelee kuwepo ili awe anaanzisha uasi kila mara ?Hahah wanamnyima usingizi au hua anapata sababu ya kuingia Congo kufanya anachofanyaga miaka yote?
hahahaha.mapema sn kuzunguzia hili,chunga mbele.tuone ile inafuataHuenda Kabila akarejea nini kwenye siasa za Drc ?
Hilo Ni jibu sahihi,kukiwa hakuna waasi kabisa Congo atasema anaingia kufanya nini,?FDLR,RNC wameshindwa kutoa threat yoyote ile ya maana kwa PK.Ina maana na yeye anataka waendelee kuwepo ili awe anaanzisha uasi kila mara ?
Aloo...ikawaje mkuu, tulichezea kichapo heavy au what happened jwtz walipovamiwa?Tulivamiwa na ADF sio wacongoman. Kidogo ungesema Uganda/Rwanda kahusika ila sio Kinshasa.