Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
kuvamiwa kwa kupigwa ambush sio kufail. Jwtz iko vzrAloo...ikawaje mkuu, tulichezea kichapo heavy au what happened jwtz walipovamiwa?
Huwa nahis kuumia sana tpdf waki fail mahala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuvamiwa kwa kupigwa ambush sio kufail. Jwtz iko vzrAloo...ikawaje mkuu, tulichezea kichapo heavy au what happened jwtz walipovamiwa?
Huwa nahis kuumia sana tpdf waki fail mahala
makundi yanayoweza kushambulia vikosi vya jwtz.ni hao ADF .na M23 na wengine lakini si wale FDLR hawawezi fanya hivyo.wala kinshansaTulivamiwa na ADF sio wacongoman. Kidogo ungesema Uganda/Rwanda kahusika ila sio Kinshasa.
Kanali Sultani Makenga ndie raisi wa sasa wa M23 na kabla yake alikuwa jamaa aitwa Jean-Marie Lugerero.Ina maana bado watawala wa Kigali hawajatosheka na walioyafanya huko Drc mashariki ?....
Kagame anahofia kitu gani kutokea huko?
Kiongozi wa Sasa wa M23 ni nani ? au bado ni Makenga ?
zitto junior mtu chake Richard lee van cliff
Yap!...Kuna chanzo nilisoma kinadai ile operation ya kulinda amani (Monusco) ni moja ya operation ghali za UN hivyo wanatumia fedha nyingi mno, Kuna baadhi ya watu wangependa iwe endelevu maana inawanufaisha.Kn mengine pale congo mashariki yanaendelea hayaelezeki kirahisi.ni faida kwa nchi na faida kwa majeshi ni km biznes flan ipo pale.kwa mwavuli wa kusaka aman
ni kweli mkuu.mengine kuandika ni magumu .lkn kn mengi yanaendelea kule congo mashariki.Yap!...Kuna chanzo nilisoma kinadai ile operation ya kulinda amani (Monusco) ni moja ya operation ghali za UN hivyo wanatumia fedha nyingi mno, Kuna baadhi ya watu wangependa iwe endelevu maana inawanufaisha.
Richard
tulia hapo hapAloo...ikawaje mkuu, tulichezea kichapo heavy au what happened jwtz walipovamiwa?
Huwa nahis kuumia sana tpdf waki fail mahala
Ila mkuu kwa Sasa kwani kundi tishio lenye nguvu au tishio la kuiangusha Serikali ? Kwani M23 ina nguvu za kuangusha serikali ? Au ni vikundi tu vya kikabila na kieneo vyenye silaha ?ni kweli mkuu.mengine kuandika ni magumu .lkn kn mengi yanaendelea kule congo mashariki.
1.kwa mgongo wa vita
2.kwa mgongo wa kulinda aman
Ki vp mkuutulia hapo hap
Hawawezi kwenda pasipo makubaliano na jeshi la taifa la Congo.JWTZ waende tena
M23 kwani wanampango wa kuangusha serikali ya kinshansa? Si ADF wala hao M23 wenye uwezo wa kuangusha serikali.Ila mkuu kwa Sasa kwani kundi tishio lenye nguvu au tishio la kuiangusha Serikali ? Kwani M23 ina nguvu za kuangusha serikali ? Au ni vikundi tu vya kikabila na kieneo vyenye silaha ?
wa kupuliza zitto junior
Mkuu kwani Congo Ina jeshi la kupambana hata na Maimai?Congo bila msaada wa majeshi kutoka nchi nyingine hakuna kitu wanaweza kufanya.Ila mkuu kwa Sasa kwani kundi tishio lenye nguvu au tishio la kuiangusha Serikali ? Kwani M23 ina nguvu za kuangusha serikali ? Au ni vikundi tu vya kikabila na kieneo vyenye silaha ?
wa kupuliza zitto junior
usijali ndugu yanguKi vp mkuu
Uliwatimua ukiwa nyuma ya keyboard?Jamani m23 wapi tena si tuliwatimua hawa
Nikiwa nyuma yako aseeUliwatimua ukiwa nyuma ya keyboard?
Mkuuni kweli mkuu.mengine kuandika ni magumu .lkn kn mengi yanaendelea kule congo mashariki.
1.kwa mgongo wa vita
2.kwa mgongo wa kulinda aman
Uko right ni business kwani UN wajilipa kutokana na migodi mbalimbali na mataifa mengine yana maeneo kabisa ya kuchimba kama cobalt ya kutengeneza mawe (Lithium batteries) ya magari.Kn mengine pale congo mashariki yanaendelea hayaelezeki kirahisi.ni faida kwa nchi na faida kwa majeshi ni km biznes flan ipo pale.kwa mwavuli wa kusaka aman
MkuuUko right ni business kwani UN wajilipa kutokana na migodi mbalimbali na mataifa mengine yana maeneo kabisa ya kuchimba kama cobalt ya kutengeneza mawe (Lithium batteries) ya magari.
Hata Tesla wana mgodi wao kupitia mchimbaji ambae ni kampuni ya Canada.
Congo DRC ni shamba kubwa ambalo si la bibi bali lilitengenezwa na mabeberu (Belgium) ili liwe kama lilivyo sasa, halina mwenyewe.
Wafahamu kitu kikiishatengenezwa kama pale Congo DRC basi huwa shida kukirekebisha.Mkuu
Najiuliza
Kwani hakuna Namna AMBAYO madini yakachukuliwa KWA amani tu BILA Shaba!!?yaani wakagawana migodi BILA milio ya Shaba humo KWENYE pori la kongo!!? Angalau vita viishe na shughuli za KAWAIDA ziendelee kama kawaida kuliko ilivyo Sasa!!?