Mapambano makali kati ya jeshi la DRC dhidi ya kundi la M23 yaanza tena

Mkuu
Najiuliza
Kwani hakuna Namna AMBAYO madini yakachukuliwa KWA amani tu BILA Shaba!!?yaani wakagawana migodi BILA milio ya Shaba humo KWENYE pori la kongo!!? Angalau vita viishe na shughuli za KAWAIDA ziendelee kama kawaida kuliko ilivyo Sasa!!?
hawatak sura zao zionekane , maana wanaubiri upendo na amani kila siku
 
Mkuu kama tunalinda eneo la maziwa makuu una maanisha nchi zinazopakana na ziwa victoria Sasa pale Rwanda na sisi ule mgogoro wa paka na jk ulikuwa personal!!!?au ni nchi kama NCHI!!?
sasa unahis akiangushwa rais haijaangushwa nchi ? fuatilia kauli za Pk utaelewa aliilenga nchi na sio JK maana JK hana chake huko DRC
 
upo nondo mkuu , una maswali yapo reasoning sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…