kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri?
Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka mbali na ukumbi.
Shida iko wapi Kama mapambano yakifanyika muda huo?
1. Usalama mdogo kwa watazamaji wanapotaka kurudi kwao baada ya pambano kumalizika
2. Usiku sana hakuna Usafiri wa public/umma
3. Watu wengi vijijini wanatumia nishati ya solar kwenye tv na ving'amuzi vyao ambavyo haziwezi kuhimili kuwasha mitambo Hadi saa 10 usiku, hivyo kusababisha watu wasiangalie pambano lengwa. Hii inawafanya watu wasilipie ving'amuzi vya kwaajili ya ngumi za usiku wa manane. Ugovi mkubwa unatokea kwa wateja kudai kurejeshewa hela zao za kiingilio.
4. Watanzania hasa watoto sio utamaduni wetu kukesha.
kwanini mapambano yawekwe saa 10 usiku? Kwanini yasianze mapema?