Mapambano ya ngumi usiku mwingi sio sawa Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri?

Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka mbali na ukumbi.

Shida iko wapi Kama mapambano yakifanyika muda huo?

1. Usalama mdogo kwa watazamaji wanapotaka kurudi kwao baada ya pambano kumalizika

2. Usiku sana hakuna Usafiri wa public/umma

3. Watu wengi vijijini wanatumia nishati ya solar kwenye tv na ving'amuzi vyao ambavyo haziwezi kuhimili kuwasha mitambo Hadi saa 10 usiku, hivyo kusababisha watu wasiangalie pambano lengwa. Hii inawafanya watu wasilipie ving'amuzi vya kwaajili ya ngumi za usiku wa manane. Ugovi mkubwa unatokea kwa wateja kudai kurejeshewa hela zao za kiingilio.

4. Watanzania hasa watoto sio utamaduni wetu kukesha.

kwanini mapambano yawekwe saa 10 usiku? Kwanini yasianze mapema?
 
Kwanini hapa Tanzania boxing iwekwe saa 8 au saa 10 usiku/alfajiri?

Watu wengi wanaangalia ngumi kwenye kumbi na vibanda umiza na wale wanaokwenda kuhudhuria mubashara mapambano hayo wanatoka mbali na ukumbi.

Shida iko wapi Kama mapambano yakifanyika muda huo?

1. Usalama mdogo kwa watazamaji wanapotaka kurudi kwao baada ya pambano kumalizika

2. Usiku sana hakuna Usafiri wa publicL

3. Watu wengi vijijini wanatumia nishati ya solar kwenye tv na ving'amuzi vyao ambavyo haziwezi kuhimili kuwasha mitambo Hadi saa 10 usiku, hivyo kusababisha watu wasiangalie pambano lengwa. Hii inawafanya watu wasilipie ving'amuzi vya kwaajili ya ngumi za usiku wa manane.

4. Watanzania hasa watoto sio utamaduni wetu kukesha.

kwanini mapambano yawekwe saa 10 usiku? Kwanini yasianze mapema?
Kweli kabisa mfano mapambano yote mawili nimeshindwa kuangalia sababu ya usiku mnene
 
Wanabidi wayafanyie kazi haya, inakera..
 
hahah yani hawa waandaji wetu hawajui yale mapambano ya ulaya huku bongo inavyokua ni usiku mnene kule inakua sio usiku mnene.
 
Ni ujinga mtupu mwaikinyo juzi sikumuangalia kwasababu nilishindwa kuuvumilia ujinga huu..
Na Jana kidogo nilale bila kuwaona akina kiduku..yaani nachukia Sana..yaani wanapigana Tanzania alafu tukeshe kuwasubili.. next time..pambano likifika saa nne kamili usiku halijaanza nalala siwezi kuvumilia ujinga na ushamba!
 
Labda soko lao lipo ulaya..
Wanataka ulaya waliangalie Mapema saa mbili kwa saa za kwao.
Ujinga mnene.
 
kwangu mimi hata ngumi zichezwe saa 10 za usiku ntaziangalia tu..
Mpira haswa simba au man utd wacheze saa 10 za usiku ntaangalia.
Kwa kifupi mm ni mlevi haswa wa ngumi na mpira.
Hongera sana kwa champion wangu Twaha kiduku.
 
Mimi ndio nimepata adhabu sana jana nimeona pambano la dula mbabe na kiduku mwiaho round ya 5 nikasinziA kuamka mpambano kwishney !
 
Hahahaha..pole sana ,mkuu
sasa lile la kina mwakinyo vs kayembe, uliliangalia kwel? Maana mbungi ilipigwa saa 10 uck
 
Ni ujinga mtupu mwaikinyo juzi sikumuangalia kwasababu nilishindwa kuuvumilia ujinga huu..
Na Jana kidogo nilale bila kuwaona akina kiduku..yaani nachukia Sana..yaani wanapigana Tanzania alafu tukeshe kuwasubili.. next time..pambano likifika saa nne kamili usiku halijaanza nalala siwezi kuvumilia ujinga na ushamba!
Yaani wao Ni Nani wavuruge usingizi wetu.
Ngumu zimefeli kwa Mara nyingine
 
Mimi ndio nimepata adhabu sana jana nimeona pambano la dula mbabe na kiduku mwiaho round ya 5 nikasinziA kuamka mpambano kwishney !
Umefanya la maana Sana kulala. Wapuuzi walimpa Dulla Mbabe wakati kila mtu kaona Twaha ndiye aliyestahili
 
Mkuu uliangalia pambano?
Dullah hajapewa ushindi..a man from Morogoro Twaha kiduku mawe ndie alietangazwa mshindi wa halali..
Dullah ubabe wke uliishia kwa cheka tu.
 
Daah! Usingizi bhana, Mm sikuelewa Basi, maana nilisikia Kama katangazwa Dulla, nikasonya. Mwakinyo naona alikuwa anamfagilia Sana Dulla.
 
Back
Top Bottom