Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Mambo ni mazuri sana na Rais Samia,
 
Wanawake Dunia nzima wanabebwa hasa kwa jinsi walivyo! Livyo...hata ufanyeje Dunia ina mlilia mwanamke tu....me akimuona ke tu inakuja sura ya Mama yake mzazi ile ya upole.....sasa niwapee hkn me atakae mkomoa mwamke Duniani kamwe...na ke wengi kina madam rita wanajua hili kitambo sana. Kimbembe sasa wakikutana wao kwa wao wakiwa marais..wajeda...wafanya biashara maweee!! nakwambia ni moto utawaka..hkn wa kuuzimisha...safari ijayo baada ya mama..mchagueni jokate muone mtakavyo kula bata...yaani sisi bongo tuwapige bao duniani...mimali yoooote ya Dunia itakuja hapo...nawambia mtashangaa. Wapeni ke mamlaka muone maajabu...
 
Kwa hesabu hizi za kwako, Jeff Bezzos asingekuwa namba mbili bilionea duniani.
Propaganda kama kawaida yenu.
 

Hesabu ya wakodiji milioni 100 unazipata wapi?
 
We proud of you Mama,

Kaza buti unaeleweka kwa wengi,

πŸ™πŸ™πŸ™
 
Acha uvivu nenda kasome utazikuta, wabongo kila kitu "link"
Nikasome wapi?

Wapi wamesema watu milioni 100 watakodi hiyo video kwa mwaka?

Tumeambiwa Amazon ina wakodiji milioni 157 wanaokodi video kwa mwaka.

Unataka kutuambia takriban kila mtu mmoja katika watatu wanaokodi video Amazon atakodi video ya Royal Tour ya Tanzania?

Unaelewa kwamba hii video mwezi ujao tu itakuwapo mitandaoni ku download bure kwenye torrent sites?

Hii figure ya watu milioni 100 mbona naona mmejitungia tu bila kuelewa statistical data za uhalisia?
 
estimates nazo zinakupa shida pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…