stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Mapitio ya Uchumi ya Mwezi Juni 2025 iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), utalii umeingiza dola za Marekani bilioni 3.92 katika kipindi cha mwaka ulioishia Mei 2025.
Hii ni hatua muhimu katika juhudi za taifa kufufua uchumi wake baada ya kipindi kigumu cha janga, na inaashiria kuimarika kwa idadi ya watalii pamoja na matumizi yao nchini.
-----------------------------
Tourism has officially surpassed gold as Tanzania’s leading foreign exchange earner, with revenues from the sector approaching the $4 billion mark, a historic milestone in the country’s post-pandemic economic recovery.
According to the Bank of Tanzania’s (BoT) Monthly Economic Review for June 2025, tourism generated $3.92 billion in earnings during the year ending May 2025.
Source: The Citizen