Mapato yanayotokana na Utalii mpaka June 2025 yamefika Tshs Bilioni 3.92

Bure kabisa!! Yaani bilioni 3 tu!! Ujinga mkubwa.

Mapato ya utalii ya jiji la Ufaransa pekee, siyo ya nchi ya Ufaransa nzima, ni dola bilioni 80.

Misri mapato ya utalii, mapiramidi tu dola bilioni 15.

Spain mapato ya utalii dola bilioni 147.
mpaka sasa umewekeza kiasi gan nje ya nchi kwa ajili ya kuingizia tanzania pesa za kigeni?
 
Maingizo makubwa na matumizi yakiwa ni ya kula kula Bata sana na kujilimbikizia hapa bado tutakuwa bila bila si Simba si Yanga. 😳 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
wakina nan hao umewaona wanakula bata na dola
 
Kuna siku utakuja kuuza utu wako kwasababu ya kukopa umfanyie mwanao kitchen party
achana na siasa maji taka za chadema, deni la marekani unajua liko kiasi gan mpaka sasa
 
exchange rates ni manual prices zinawekwa kutokana na sera iliopo, bei mbaya maaana yake kudiscourage watu kutumia dola
Kwa hiyo hela yetu kuwa madafu 20 au zaidi kuwa SHS 1 ya Kenya imewekwa manually , ya kwetu Tshs .67 kuwa Ugshs 1;nayo ni manually setted
 
Na Deni la Tanganyika mpaka end of June lilikuwa TRILLION 107
Ndio hapa ninajiuliza tunaambiwa mapato yameongezeka kila mahali
Bandarini
Kwenye Utalii
Makusanyo ya TRA
Gawio la mashirika ya umma kwenda serikali kuu.
Lakini mbona deni la Taifa linakuwa kubwa zaidi.
Nchi hii inaendeshwa na watu waliofirisika kifikra na hawaoni hata aibu kutangaza uongo wa waziwazi
 
Kwa hiyo hela yetu kuwa madafu 20 au zaidi kuwa SHS 1 ya Kenya imewekwa manually , ya kwetu Tshs .67 kuwa Ugshs 1;nayo ni manually setted
yes na nlishaelezea exchange rates znapatikana vp:
 
Ndio hapa ninajiuliza tunaambiwa mapato yameongezeka kila mahali
Bandarini
Kwenye Utalii
Makusanyo ya TRA
Gawio la mashirika ya umma kwenda serikali kuu.
Lakini mbona deni la Taifa linakuwa kubwa zaidi.
Nchi hii inaendeshwa na watu waliofirisika kifikra na hawaoni hata aibu kutangaza uongo wa waziwazi
kwan marekani deni lake kiasi gan usikute wewe ndo una tatizo
 
yes na nlishaelezea exchange rates znapatikana vp:
Unaweza kuweka waraka wa kitaaluma juu ya hiyo manually settings ya exchange rate
 
exchange rates ni makubaliano kutokana na uhitaji, mfano mkiwa mna export kupitiliza there is no need to limit upatikanaji wa dollar because no one needs it, so your rates become fair, kwa nchi ambazo hazina misuli ya export rates utaiweka mbaya kudiscourage utumiaji wa dollar nchini
 
lakini pia hakuna hesabu za kitalaamu zinatotumika kupata exchange rates hii ni kutokana na sera ya fedha benki kuu kwa mwaka huo
 
Kwa hiyo Kwa maneno Mengine ni kuhusu upatikanaji wake na mahitaji yake.
Sasa bila ongezeko la utalii upatikanaji wake ulikuwa Mdogo na iliuzwa Tshs 2,500. Sasa hivi kufuatana na wewe upatikanaji wake umeongezeka sasa hakunabhaja ya kuongeza bei ku discourage ununuzi wake
 
Hela yetu itakuwa na nguvu ikiwa mapato yetu ya Fedha za kigeni ni Mazuri kuliko mahitaji, lakini si hivyo sababu ya wizi, sasa ukiisha kuwa na wizi mahitaji ya usd na nyinginezo unakuwa Mkubwa. Na hivyo usd itauuzwa aghali.
Na ukitaka kuhakiki hii angalia tulikuwa hatu chimbi dhahabu rate Tshs 1,000 Kwa USD lakini toka wakati huo Hadi sasa USD imekuwa ikiongezeka hadi sasa imefika hiyo 2,700/
 
hapana, tatizo kubwa ni wananchi wenyewe, wengi wana mambo mengi sana ya kununua nje lakini inapokuja swala la kuingiza pesa ndan ni watu wachache sana, kila mtu anawaza ajira hivo serikali inabidi izitafute izo dola kwa jitihada zake
 
Kwa hiyo Kwa maneno Mengine ni kuhusu upatikanaji wake na mahitaji yake.
Sasa bila ongezeko la utalii upatikanaji wake ulikuwa Mdogo na iliuzwa Tshs 2,500. Sasa hivi kufuatana na wewe upatikanaji wake umeongezeka sasa hakunabhaja ya kuongeza bei ku discourage ununuzi wake
upo, serikali ina manunuzi mengi ya nje ya nchi haswa kipindi iki mambo ya miradi na pia deni la taifa ndo izo izo dollar znatumika
 
exchange rates ni makubaliano kutokana na uhitaji, mfano mkiwa mna export kupitiliza there is no need to limit upatikanaji wa dollar because no one needs it, so your rates become fair, kwa nchi ambazo hazina misuli ya export rates utaiweka mbaya kudiscourage utumiaji wa dollar nchini
Exchange rates are ultimately determined in global foreign exchange markets by the supply and demand of currencies. Economic factors like inflation, interest rates, and geopolitical events influence these market forces. This article explains the key factors that influence exchange rates
 
nop, ukichukua tsh ukaenda nayo ata apo kenya amna anaeichukua! na pia hakunaga kitu kama supply and demand kwenye exchange rates, those are cheap talks created na watu waliosoma forex but real exchange rates haina uhusiano huo, unaweza kwenda nchi ina GDP mbovu na pesa yake ina thamani against dollar likewise u can visit a strong country but has a weak currency kushinda ata tanzania
 
Back
Top Bottom