Mapato yanayotokana na Utalii mpaka June 2025 yamefika Tshs Bilioni 3.92

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Mapitio ya Uchumi ya Mwezi Juni 2025 iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), utalii umeingiza dola za Marekani bilioni 3.92 katika kipindi cha mwaka ulioishia Mei 2025.

Hii ni hatua muhimu katika juhudi za taifa kufufua uchumi wake baada ya kipindi kigumu cha janga, na inaashiria kuimarika kwa idadi ya watalii pamoja na matumizi yao nchini.

-----------------------------

Tourism has officially surpassed gold as Tanzania’s leading foreign exchange earner, with revenues from the sector approaching the $4 billion mark, a historic milestone in the country’s post-pandemic economic recovery.

According to the Bank of Tanzania’s (BoT) Monthly Economic Review for June 2025, tourism generated $3.92 billion in earnings during the year ending May 2025.

Source: The Citizen
 


Bure kabisa!! Yaani bilioni 3 tu!! Ujinga mkubwa.

Mapato ya utalii ya jiji la Ufaransa pekee, siyo ya nchi ya Ufaransa nzima, ni dola bilioni 80.

Misri mapato ya utalii, mapiramidi tu dola bilioni 15.

Spain mapato ya utalii dola bilioni 147.
 
Maingizo makubwa na matumizi yakiwa ni ya kula kula Bata sana na kujilimbikizia hapa bado tutakuwa bila bila si Simba si Yanga. 😳 !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Ingekuwa kuwa hivyo exchange rate ya USD ingeshuka, na gawiwo toka TANAPA lingeongezeka
exchange rates ni manual prices zinawekwa kutokana na sera iliopo, bei mbaya maaana yake kudiscourage watu kutumia dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…