mpaka sasa umewekeza kiasi gan nje ya nchi kwa ajili ya kuingizia tanzania pesa za kigeni?Bure kabisa!! Yaani bilioni 3 tu!! Ujinga mkubwa.
Mapato ya utalii ya jiji la Ufaransa pekee, siyo ya nchi ya Ufaransa nzima, ni dola bilioni 80.
Misri mapato ya utalii, mapiramidi tu dola bilioni 15.
Spain mapato ya utalii dola bilioni 147.
Kwa hiyo hela yetu kuwa madafu 20 au zaidi kuwa SHS 1 ya Kenya imewekwa manually , ya kwetu Tshs .67 kuwa Ugshs 1;nayo ni manually settedexchange rates ni manual prices zinawekwa kutokana na sera iliopo, bei mbaya maaana yake kudiscourage watu kutumia dola
Ndio hapa ninajiuliza tunaambiwa mapato yameongezeka kila mahaliNa Deni la Tanganyika mpaka end of June lilikuwa TRILLION 107
yes na nlishaelezea exchange rates znapatikana vp:Kwa hiyo hela yetu kuwa madafu 20 au zaidi kuwa SHS 1 ya Kenya imewekwa manually , ya kwetu Tshs .67 kuwa Ugshs 1;nayo ni manually setted
kwan marekani deni lake kiasi gan usikute wewe ndo una tatizoNdio hapa ninajiuliza tunaambiwa mapato yameongezeka kila mahali
Bandarini
Kwenye Utalii
Makusanyo ya TRA
Gawio la mashirika ya umma kwenda serikali kuu.
Lakini mbona deni la Taifa linakuwa kubwa zaidi.
Nchi hii inaendeshwa na watu waliofirisika kifikra na hawaoni hata aibu kutangaza uongo wa waziwazi
Unaweza kuweka waraka wa kitaaluma juu ya hiyo manually settings ya exchange rateyes na nlishaelezea exchange rates znapatikana vp:
TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapi
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana na nini! katika maelezo haya tutatumia KSH/TSH kama mfano Exchange rates ni nini: ni Bei ya...www.jamiiforums.com
exchange rates ni makubaliano kutokana na uhitaji, mfano mkiwa mna export kupitiliza there is no need to limit upatikanaji wa dollar because no one needs it, so your rates become fair, kwa nchi ambazo hazina misuli ya export rates utaiweka mbaya kudiscourage utumiaji wa dollar nchiniUnaweza kuweka waraka wa kitaaluma juu ya hiyo manually settings ya exchange rate
Kwa hiyo Kwa maneno Mengine ni kuhusu upatikanaji wake na mahitaji yake.exchange rates ni makubaliano kutokana na uhitaji, mfano mkiwa mna export kupitiliza there is no need to limit upatikanaji wa dollar because no one needs it, so your rates become fair, kwa nchi ambazo hazina misuli ya export rates utaiweka mbaya kudiscourage utumiaji wa dollar nchini
Hela yetu itakuwa na nguvu ikiwa mapato yetu ya Fedha za kigeni ni Mazuri kuliko mahitaji, lakini si hivyo sababu ya wizi, sasa ukiisha kuwa na wizi mahitaji ya usd na nyinginezo unakuwa Mkubwa. Na hivyo usd itauuzwa aghali.lakini pia hakuna hesabu za kitalaamu zinatotumika kupata exchange rates hii ni kutokana na sera ya fedha benki kuu kwa mwaka huo
hapana, tatizo kubwa ni wananchi wenyewe, wengi wana mambo mengi sana ya kununua nje lakini inapokuja swala la kuingiza pesa ndan ni watu wachache sana, kila mtu anawaza ajira hivo serikali inabidi izitafute izo dola kwa jitihada zakeHela yetu itakuwa na nguvu ikiwa mapato yetu ya Fedha za kigeni ni Mazuri kuliko mahitaji, lakini si hivyo sababu ya wizi, sasa ukiisha kuwa na wizi mahitaji ya usd na nyinginezo unakuwa Mkubwa. Na hivyo usd itauuzwa aghali.
Na ukitaka kuhakiki hii angalia tulikuwa hatu chimbi dhahabu rate Tshs 1,000 Kwa USD lakini toka wakati huo Hadi sasa USD imekuwa ikiongezeka hadi sasa imefika hiyo 2,700/
upo, serikali ina manunuzi mengi ya nje ya nchi haswa kipindi iki mambo ya miradi na pia deni la taifa ndo izo izo dollar znatumikaKwa hiyo Kwa maneno Mengine ni kuhusu upatikanaji wake na mahitaji yake.
Sasa bila ongezeko la utalii upatikanaji wake ulikuwa Mdogo na iliuzwa Tshs 2,500. Sasa hivi kufuatana na wewe upatikanaji wake umeongezeka sasa hakunabhaja ya kuongeza bei ku discourage ununuzi wake
Huyo mpemba kakopa trillion 57 kazipeleka wapi?achana na siasa maji taka za chadema, deni la marekani unajua liko kiasi gan mpaka sasa
Exchange rates are ultimately determined in global foreign exchange markets by the supply and demand of currencies. Economic factors like inflation, interest rates, and geopolitical events influence these market forces. This article explains the key factors that influence exchange ratesexchange rates ni makubaliano kutokana na uhitaji, mfano mkiwa mna export kupitiliza there is no need to limit upatikanaji wa dollar because no one needs it, so your rates become fair, kwa nchi ambazo hazina misuli ya export rates utaiweka mbaya kudiscourage utumiaji wa dollar nchini
nop, ukichukua tsh ukaenda nayo ata apo kenya amna anaeichukua! na pia hakunaga kitu kama supply and demand kwenye exchange rates, those are cheap talks created na watu waliosoma forex but real exchange rates haina uhusiano huo, unaweza kwenda nchi ina GDP mbovu na pesa yake ina thamani against dollar likewise u can visit a strong country but has a weak currency kushinda ata tanzaniaExchange rates are ultimately determined in global foreign exchange markets by the supply and demand of currencies. Economic factors like inflation, interest rates, and geopolitical events influence these market forces. This article explains the key factors that influence exchange rates
Maendeleo yapisi ndo kufanyia maendeleo mkuu, na mbna hio ndogo umeona deni la marekani?