BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Hayo sio mapato ya Serikali ni asilimia kubwa mapato ya wanao miliku Hohote za kitalii na Makampuni ya utalii,Matunda ya kukuza utalii sasa yameanza kuonekana, mapato haya ni mpaka june 2025 tu (Mama Samia 5 tena)
Tourism overtakes gold as Tanzaniaβs top foreign exchange earner
Tourism generated $3.92 billion in earnings during the year ending May 2025www.thecitizen.co.tz
Kama wapo itakuwa ni shida kama hakuna wanaofanya hivyo Basi litakuwa ni jambo jema !wakina nan hao umewaona wanakula bata na dola
alafu usiwe hisia sana kwenye pesa, they are just numbers and haina uhusiano wowote na wewe kua na maisha bora ama magumu! when you create value hio value can always be exchanged with money anytime, usikae ukaumiza kichwa sjui mtu flan kapiga pesa ndo maaana maisha magumuKama wapo itakuwa ni shida kama hakuna wanaofanya hivyo Basi litakuwa ni jambo jema !
Kweli itβs just a waste of time π πalafu usiwe hisia sana kwenye pesa, they are just numbers and haina uhusiano wowote na wewe kua na maisha bora ama magumu! when you create value hio value can always be exchanged with money anytime, usikae ukaumiza kichwa sjui mtu flan kapiga pesa ndo maaana maisha magumu
yes, usiweke sana hisia kwenye pesa haina thamani kama unavoamini, likewise leo nkikupa ela ya tz iliotumika kipindi cha nyerere amna anaeitaka ila kipindi chake ulikua unaipigania kinomaKweli itβs just a waste of time π π
Mambo ya pesa ni magumu !
Kila mtu anataka pesa ! Including me too ! π