UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨
Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”.
Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA.
Pazia si kitambaa tu cha kufunika dirisha —
Pazia lina uwezo wa:
✔️ Kubadilisha muonekano wa room nzima
✔️ Kuongeza Elegance & Luxury vibe
✔️ Kutoa privacy na comfort
✔️ Kufanya nyumba au office ionekane ya kisasa zaidi
Sisi tunatoa huduma kamili ya:
✅ Kupima eneo
✅ Kushauri design & rangi zinazoendana na room
✅ Kushona kwa viwango bora
✅ Kufunga kwa umakini mkubwa
Tunafanya kazi kwa:
🏠 Nyumba
🏢 Office
🏨 Hotel
🛋️ Apartments & Airbnb
Kila project tunaiangalia tofauti kulingana na:
- Muonekano wa room
- Mwanga wa eneo
- Style ya furniture
- Mahitaji ya mteja
Lengo letu si kuuza pazia pekee…
Lengo letu ni kubadilisha muonekano wa eneo lako na kulifanya lionekane tofauti kabisa. ✨
📍 TUNAPATIKANA:
PSSSF PLAZA 1st Floor, Pugu Road
📞 WASILIANA NASI au NITUMIE NAMBA PM TUKUPIGIE.
0766211158
0755823704
0674451158
📩 Unaweza pia kututumia picha ya room yako DM/WhatsApp tukushauri design inayofaa.
Angalia picha zetu hapa ili kuona kazi tulizowahi kuzifanya na mapazia tuliyonayo.