Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

Hakika mimi ni mmoja wao
Lakini napaza sauti kuwa hiki chama siyo kile kilichoongoza mapambano ya uhuru wa Tanzania na Afrika. Chama hiki sasa kinaishi kwa utamaduni wa mwenyenguvu mpishe.

Kimefilisika kisera
hapa sasa tupo pamoja
 
Ubarikiwe sana kwa kuleta mada yenye kuibua uozo ktk jamii.

Tatizo mada kama hii hua na wachangiaji wachache tofauti na zile zinazo hamasisha ngono.

Tuna kizazi cha ajabu haijawahi tokea!.
 
Lucas mwashambwa CM 1774858
Miaka miwili ya mama imetuzawadia haya mambo
 
uzuri ni kwamba wote mnaolalamika mkiambiwa wapeni kura zenu upinzani mnaona hawafai...

Tuendelee na CCM mpaka wote tufe
Mkuu hata ukiwapa zinaporwa kibabe aka bao la kisigino...
 
Tukisema ccm ni uchafu watu wapumbavu wanasema tunatukana ....kwa kifupi kwa sasa tz ipo mikononi mwa muhuni kamili
 
Hosipitali zetu ni magereza za wagonjwa na maiti, maiti kama haina pesa ya kulipia deni la tiba ijue itatumikia kifungo cha muda usiojulikana mpaka itakapopata pesa za kulipa deni, vivyo hivyo na mgonjwa aliyeruhusiwa.
 
Hosipitali zetu ni magereza za wagonjwa na maiti, maiti kama haina pesa ya kulipia deni la tiba ijue itatumikia kifungo cha muda usiojulikana mpaka itakapopata pesa za kulipa deni, vivyo hivyo na mgonjwa aliyeruhusiwa.
Hii ni title inajitosheleza. Nitaomba niitumie nitapoandika barua ya wazi kwa Rais iwapo sitoridhishwa kwa majibu nitayopewa na uongozi wa muhimbili.

Binafsi nimesoma na moyo wangu; it doesn't matter anymore.....

Nitafatilia hadi haki isimame kwa wagonjwa wasio na uwezo Muhimbili.

kwani tokea nianze kufatilia suala la mgonjwa wangu maafisa wa ustawi wa jamii Karibia wote tena wanawake wamenitishia kuniitia polisi.

Kwa like napingana na taratibu (urasimu) waliouweka
 
uzuri ni kwamba wote mnaolalamika mkiambiwa wapeni kura zenu upinzani mnaona hawafai...

Tuendelee na CCM mpaka wote tufe
Waambie wapinzani wenzio kuwa bibi huyu ikimuuliza juu ya katiba mpya haelewi chcht.

Bibi huyu angewaelewa iwapo mngepigania maslahi ya wananchi.

Na kupigania mnapaswa kuanza leo. Binafsi ukiitisha maandamano ya kupigania kupewa matibabu bure kwa wagonjwa wenye magonjwa dume kama vile saratani, figo nitashiriki. Lkn sitoshiriki kwa kupigania katiba mpya

Ukiitisha maandamano ya kutetea wamachinga kujengewa maeneo rafiki kwa biashara zao nitashiriki lkn sitoshiriki kwa kupigania tume huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…