Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

Kuna sababu nyingi zaweza kuifanya city yoyote kuwa kugeuzwa kuwa financial center bila kuangalia sana nje ya nchi.

1. Tayari Arusha ni tourist destination na sio Tourist hub kama ilivyo Dubai ya leo.

2. Miji mingine uloongelea ni financial capitals kama London na New York ambayo ina pia soko la mitaji (Stock Exchange), hivyo Arusha yaweza tu kuwa Finacial center ya Tanzania ikihudumia mikoa jirani ili nayo iwezo kunyanyuka kiuchumi.

Kinotakwia ni kitu twaita kwa kiingereza revitalization yaani kuigeuza na kuibadili Arusha kuwa Financial Center kwani tayari kuna benki kuu hapo na kituo cha kimataifa cha AICC na biashara zingine kubwa tu.
 
Mkoa wenye advantage na resources kuwa industrial hub ni Pwani tu kutokana na logistical position na adequate land.

Acha kuandika pumba hapa na huku huijui Arusha
Kwani Arusha kijiigrafia haifai kuwa financial centre?

Au Arusha haina ardhi ya kutosha?

Arusha pia upo mpaka ambao kwa mtu mwenye maoni tayari ni kitega uchumi kizuri kwa mkoa.

Au weye ni mzaramo wa hapo Chalinze?
 
Ajitahidi tu aifanye kuwa kitovu cha utaii. Barabara nzuri, mazingira masafi, taa za barabarani mji wote na Usalama.
 
Nimemueleza hapo kwenye mada na nimegusia kuwepo kwa mahakama za haki za binadamu hapohapo Arusha.

Na kama kuna watu ambao wana msukumo wa kufungua mashtaka mbona mahakama ipo hapohapo Arusha?
Mkuu labda hatupo kwenye mjadala mmoja,ninachokitaka mimi ni Mr. Makonda to came clean na tuhuma zinazomkabili na sip kwenda kwa court,atumie hata social networks aelezee hasa why anahusishwa na jina la Bashite,tuhuma za utekaji na uuaji,tuhuma za dhuruma kwa binadamu wenzake etc etc,that's all
 
Labda atafute za kwake awekeze
Na ndio atakachofanya
Kwa utawala wa Afrika kuteuliwa tu ni utajiri tosha wa kuanza kujilimbokizia miradi ya haram na halali
Hapo akikaa mda utaona ana machimbo na hotel za kitalii

Hakuna anaejali haya unayosema kwani sio kazi yake hiyo
 
Labda kwa ujeuri wake aweza kuendelea kiukaa kimya juu ya hilo na sidhani kama kuna alie na interest ya kufungua kesi ya madai.

Yule anetuhumu si ndie yule aneenda polisi kupeleka tuhumua zake au?

Na polisi si wapo? na watapokea tuhuma hizo na kuzifanyia maana hilo ni jukumu lao.

Tukiendelea kutoa tuhuma tu mitandaoni nafikiri haitasaidia kupata hakai ya kusikilizwa madai hayo na pia haki ya mtuhumiwa kupata nafasi ya jibu tuhuma kwa njia sheria ambayo ni polisi na mahakama.

Mimi hayo ni mapendekezo yangu hayamaanishi kuwa namuunga mkono Mr Makonda kwa kutojibu tuhuma.
 
UBINAFSI TU, GAZETI ZIMA
 
UBINAFSI TU, GAZETI ZIMA
Ni mapendekezo.

Leo, meya wa jiji katangaza wamekusanya kodi bilioni 66.6

Hizi ni mara mbili ya zile ambazo walikuwa wakikusanya kabla yaani bilioni 30.

Najiuliza kuna kitu kimepita wamekusanya na kuweka rekodi sasa hivi au tu wameamua safari hii hakuna upigaji?

Nayaheshimu maoni yako.
 
Safi
 
Kwa mfano China kupitia chama chake cha CCP kamati kuu yake imepanga mpango wa maendeleo tokea miaka ya 1800s.
Chai ina magaidi.

Chama cha kikomunisti cha China kimeanzishwa mwaka 1921 na mwaka 1949 kimeunda serikali.

Wewe hii 1800s umeipatia wapi ? 1800s unafahamu hata China ilikuwa katika hali gani ?
 
Nyie Five Year Plans zenu huwa zipi toka kuanzishwa kwa taifa la Tanzania na huwa mnazitimiza ?
 
Ni kawaida kwa nchi za kiafrika viongozi kugeuza nafasi za kisiasa kuwa mitaji ya kujinufaisha binafsi na familia zao.

Hili haliepukiki na ni vigumu kwa nchi yenye mfumo wa Kleptokraia kama ya kwetu.

Lakini pia ipo nafasi kwa zile ngazi za chini kuhakikisha zpiga kazi ili kuboresha maendeleo ya chini kabisa yaani ya msingi au twasema basic needs.

Ndo maana leo meya wa jiji la Arusha katangaza mapato zaidi ya bilioni 66 ambayo yatapelekwa kwenye mahitaji ta msingi kabisa, elimu, afya, miundombinu imara itozuia mafuriko kuleta madhara na vingine vodogovidogo.

Lakini hapohapo maoni yangu yatoa fursa kwa mkuu wa mkoa kutukiza kichwa na kupiga kazi ili kuigeuza Arusha kuwa "financial centre" ya Tanzania.

Akiwa busy na hili atakosa ule muda wa kufuatilia mambo yaso maana.
 
Chai ina magaidi.

Chama cha kikomunisti cha China kimeanzishwa mwaka 1921 na mwaka 1949 kimeunda serikali.

Wewe hii 1800s umeipatia wapi ? 1800s unafahamu hata China ilikuwa katika hali gani ?
Mkuu, kufikia mwaka 1820 pato la taifa la China yaani GDP lilikuwa zaidi ya mara sita kwa Uingereza na Marekani.

Ni hapo baadae vita ya wenyewe kwa wenyewe Chinese Civil War kati ya mwaka 1927 na 1949 ndo ilirudisha nyuma uchumi wa China.

Na kuundwa kwa CCP ni mwendelezo wa tokea mapinduzi ya Russia au Russia Revolution ya mwaka 1917.

Soma historia uelewe.
 
Unaandika pumba tu kwa vile umetumwa na Bashite. Endelea kwa vile mnalipwa ujira wa siku kuandikq kwenye social media. Ila ni pumba
 
Kwani Arusha kijiigrafia haifai kuwa financial centre?

Au Arusha haina ardhi ya kutosha?

Arusha pia upo mpaka ambao kwa mtu mwenye maoni tayari ni kitega uchumi kizuri kwa mkoa.

Au weye ni mzaramo wa hapo Chalinze?
Hujui kitu unachoandika, unajaza servers na pumba tu
 
Vitu gani hivi vya ajabu unaandika.

1800s chama cha kikomunisti cha China hakikuwepo wala itikadi za kikomunisti China hazikuwepo.

Unaandika vitu vya ajabu humu.
 
Unaandika pumba tu kwa vile umetumwa na Bashite. Endelea kwa vile mnalipwa ujira wa siku kuandikq kwenye social media. Ila ni pumba
Mkuu jikite kwenye mada, tuache chuki binafsi, halafu mie ni mjasiriamali nina kipato changu cha maana.

Hapa nimejituma kuandika mapendekezo tu basi.
 
Vitu gani hivi vya ajabu unaandika.

1800s chama cha kikomunisti cha China hakikuwepo wala itikadi za kikomunisti China hazikuwepo.

Unaandika vitu vya ajabu humu.
Mkuu, tafuta muda usome historia ya China hadi karne ya 19 ambayo ndo mwaka 1800 waanzia.

Kisha andika mada tuchangie.

Hapa twapoteza lengo la mada yangu.
 
Mkuu, tafuta muda usome historia ya China hadi karne ya 19 ambayo ndo mwaka 1800 waanzia.

Kisha andika mada tuchangie.

Hapa twapoteza lengo la mada yangu.
Mada ina assumptions zilizojengwa kwenye taarifa uwongo na kukosa uelewa wa unachotaka (lack of knowledge in the subject matter), haiwezi kujadilika. Ni kupoteza muda tu
 
Your browser is not able to display this video.

Unayempa ushauri sasa ni typical zero brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…