Napendekeza badala yake tuongeze uzalishaji ili pesa ipande thamaniMatumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
Product au service yenye value ya Tsh 400 utaifuta vp?Sasa mia nne inaingiaje hapo mkuu?,fedha hizi za sarafu ndy zinasababisha uhaba na mzunguko mdogo wa fedha za note
Mawazo ya Iddi Amin hayo. Pesa hawaprint kama karatasi za tuition.Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
Aitoe wapi shule kwa mawazo haya?Una shule kichwani kweli!
Kuna mtu mauzo yake kwa siku ni sh 10000, maana yake hawezi uza kwa mti wa 50000! Sijui wewe unafikiria mshahara wa mwisho wa mwezi tuu?Ishu ni kwamba fedha za sarafu zisitumike tena,yaani kuanzia shilingi mia tano ya note hadi elfu 50 sasa hapo utapata usumbufu upi wa kupata chenji
Na mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!Rudia kusoma uelewe vzr,namaanisha fedha za sarafu zisitumike tena,zitumike za note tuu
Huelewi kwanini hakuna hizo 50000/- huna kitu kichwani kuhusu uchumi.Rudia kusoma uelewe vzr,namaanisha fedha za sarafu zisitumike tena,zitumike za note tuu
Umekomaa na kutokuelewa kwako, kajielimishe siyo kukomaa na ujinga.Shida wp hizi sarafu ndy shida,fedha zikiwa kwa mfumo wa note hapatakuwa na usumbufu wa chenji kama ilivyo sasa
Kwa comment hii, mada umeifunga.Mzunguko wa fedha mdogo sana ungekuwa mkubwa sana wangeprint
Lakini kwa sasa ninakushangaa wewe unaishi dunia ya wapi watu wenye pesa nyingi hawahifadhi nyumbani ni benki na miamala mingi huifanya kwa ki electronic hivyo kufanya washikaji pesa taslimu kupungua
Hizi sarafu zinahitajika sana kwa majority ya watanzania kulipa nauli za daladala,kununua mahitaji mitaani mfano magenge ya kuuza nyanya,vitunguu nk
Kununua maandazi,chapati nk
Pia kuna sekta imeingia ya kucheza kamari zinahitajika sana hizo sarafu
Maliza shule kwanza ndo utajua hujui, dunia nzima huwezi epuka sarafu, nenda ulaya na Amerika. Usianzishe uzi bila kusoma kwanzaIshu ni kwamba fedha za sarafu zisitumike tena,yaani kuanzia shilingi mia tano ya note hadi elfu 50 sasa hapo utapata usumbufu upi wa kupata chenji
Unaishi sayari ya MarsWakati dunia inahamia kwenye cashless, kuna watu wanawaza kuongeza noti. Mimi nashauri serikali iache kabisa kuingiza noti na sarafu kwenye mzunguko na iondoe tozo watu walipe kwa mitandao kuanzia supermarket, madukani mpaka kwa mama ntilie iwe mwendo wa mpesa tu.
Sio dola moja tu, wana mpaka senti ya dola na chenji si shida kabisa. Mleta mada akasome vizuri kwanzaNa mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!
Acha bangi wewe.... kwamba nampa konda noti ya elfu 20 au 50 akate 600.... au naenda kununua vucha ya 1000 nimpe noti ya elfu 50..... AU UNATAKA UPUUZI WA KWENDA DUKANI NA KIROBA CHA KUBEBEA CHENCHI...... jinga kabisa...Shida wp hizi sarafu ndy shida,fedha zikiwa kwa mfumo wa note hapatakuwa na usumbufu wa chenji kama ilivyo sasa
[emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106]Noti ya efu 50 ni kitu gani utalipia....? Noti ya elfu 10 chenchi ni shida seuze ulete elfu 50??? UMESIMA HADI LEVEL GANI WEWE?
Juzi nilikuta ugomvi mkubwa Sana kituo cha daladala baada ya konda kuvurugana na abiria wake kisa ni abiria kumpa konda elfu kumi kwa nauli ya mia nne tuu. Konda baada ya kukosa chenchi akamwambia abiria waende mpaka mwisho wa bus na atarudi naye mpaka anaposhukia kwani hana jinsi. Ikatokea abiria mmoja msamaria akamlipia huyo mama sh 400 ndo safari ikaendelea...Umeshawaza unanunua vocha ya 1,000 halafu mtu kakupa note ya 50,000? Sitaki hata kuwaza daladala konda kapewa 50,000 akate 400.