Mapendekezo: Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ifute matumizi ya fedha za sarafu na itengeneze noti mpya ya shilingi elfu 20 na elfu 50

Mapendekezo: Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ifute matumizi ya fedha za sarafu na itengeneze noti mpya ya shilingi elfu 20 na elfu 50

Acha bangi wewe.... kwamba nampa konda noti ya elfu 20 au 50 akate 600.... au naenda kununua vucha ya 1000 nimpe noti ya elfu 50..... AU UNATAKA UPUUZI WA KWENDA DUKANI NA KIROBA CHA KUBEBEA CHENCHI...... jinga kabisa...
Hv umeelewa nilicho andika kweli,kiroba cha kubeba fedha za note!,utakuwa umechanganyikiwa ww
 
Yaani ukipoteza note 1 ya 50,000, umepoteza hela ya kulimia eka 1?? Au mshahara wa kibarua mara!
Aisee na umesomea wapi Econometrics??
Sijasoma economic,elimu yangu ni darasa la saba
 
Na mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!
Ndiyo shule ninayo
Vitu vidogo vipi? Kwani fedha za note haziwezi kununua vitu vidogo?
 
Kuna mtu mauzo yake kwa siku ni sh 10000, maana yake hawezi uza kwa mti wa 50000! Sijui wewe unafikiria mshahara wa mwisho wa mwezi tuu?
Mimi silipwi mshahara nafanya kazi yangu mwnywe hvyo najilipa mwenyw.
 
Sasa mia nne inaingiaje hapo mkuu?,fedha hizi za sarafu ndy zinasababisha uhaba na mzunguko mdogo wa fedha za note
Una uelewa kidogo na uchumi au umeamua tu ulete hoja. Si ni bora ungeuliza swali. Sasa hoja gani hapa unasema, products and services unazopata kwa TZS 400/- unataka zifutwe au zipandishwe bei? Hakuna kichaa aliwahi fanya hivi duniani tangu kuwepo kwa monetary exchanges
 
Zipandishwe bei awalau bei ya bidhaa ianziE na shilingi mia tano,kuepuka usumbufu pawepo na fedha za note tu

Wacheza kamari za wachina ndy wana pwapwaja na tuendelee na matumizi ya sarafu
 
Na mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!
Siyo Dola moja tu na cent zipo Hadi senti 1, ndiyo maana utakuta viatu vinauzwa $19.99 au $19.76
Euro wana euro 1, 2, na cents
£ muingereza ana £1, £2 ana pennies kama sarafu!
Australia, Canada hali kadhalika nchi za uchumi mkubwa hawana £200 note au $,1000

Huyu mleta mada si ajabu katumwa kupima upepo na upeo wa wanajamvi! Aisee
 
Juzi nilikuta ugomvi mkubwa Sana kituo cha daladala baada ya konda kuvurugana na abiria wake kisa ni abiria kumpa konda elfu kumi kwa nauli ya mia nne tuu. Konda baada ya kukosa chenchi akamwambia abiria waende mpaka mwisho wa bus na atarudi naye mpaka anaposhukia kwani hana jinsi. Ikatokea abiria mmoja msamaria akamlipia huyo mama sh 400 ndo safari ikaendelea...
😂😂
 
Shida wp hizi sarafu ndy shida,fedha zikiwa kwa mfumo wa note hapatakuwa na usumbufu wa chenji kama ilivyo sasa
Kama unaona sarafu zinakusumbua zipeleke msikitini au kanisani, wape wajane na yatima, wagonjwa na walemavu ombaomba. Lakini sina uhakika sana kama unaweza kuwa mtu tajiri au unamiliki pesa 🤔
 
Kama unaona sarafu zinakusumbua zipeleke msikitini au kanisani, wape wajane na yatima, wagonjwa na walemavu ombaomba. Lakini sina uhakika sana kama unaweza kuwa mtu tajiri au unamiliki pesa 🤔
Hata nikizipeleka huko misikitini na makanisani,si zitarudi tena mtaani kununulia bidhaa?
Nibora ziondolewe tubaki na matumizi ya fedha za note ambazo kuzihandle ni rahisi sana kuliko sarafu
 
Ishu ni kwamba fedha za sarafu zisitumike tena,yaani kuanzia shilingi mia tano ya note hadi elfu 50 sasa hapo utapata usumbufu upi wa kupata chenji
Kama elf 10 tu imenikalisha masaa yote haya hiyo elf 50 si nitakufa njaa huku kijijini
 
Kama elf 10 tu imenikalisha masaa yote haya hiyo elf 50 si nitakufa njaa huku kijijini
Tatizo ni bei ya bidhaa,ingekuwa bidhaa zote hazina mfumuko wa bei hilo lisingekuwa kikwazo
Mfano uzalishaji wa bidhaa uwe juu na bei ya bidhaa ziuzwa kwa bei juu kidogo hapo unadhani kutakuwa na tatizo kweny exchange rate

Sasa unakuta pembeneo za kilimo bei ipo juu,gharama nyingine za kilimo zipo juu halafu mtu anauza debe moja la mahindi elf 2 huo si ukichaaa,kuondokan na hilo ni bidhaa zote zipande bei ili mzunguko wa fedha uwe constant
 
Back
Top Bottom