Hv umeelewa nilicho andika kweli,kiroba cha kubeba fedha za note!,utakuwa umechanganyikiwa wwAcha bangi wewe.... kwamba nampa konda noti ya elfu 20 au 50 akate 600.... au naenda kununua vucha ya 1000 nimpe noti ya elfu 50..... AU UNATAKA UPUUZI WA KWENDA DUKANI NA KIROBA CHA KUBEBEA CHENCHI...... jinga kabisa...
Ndiyo shule ninayoNa mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!
Una uelewa kidogo na uchumi au umeamua tu ulete hoja. Si ni bora ungeuliza swali. Sasa hoja gani hapa unasema, products and services unazopata kwa TZS 400/- unataka zifutwe au zipandishwe bei? Hakuna kichaa aliwahi fanya hivi duniani tangu kuwepo kwa monetary exchangesSasa mia nne inaingiaje hapo mkuu?,fedha hizi za sarafu ndy zinasababisha uhaba na mzunguko mdogo wa fedha za note
Zipandishwe bei awalau bei ya bidhaa ianziE na shilingi mia tano,kuepuka usumbufu pawepo na fedha za note tuUna uelewa kidogo na uchumi au umeamua tu ulete hoja. Si ni bora ungeuliza swali. Sasa hoja gani hapa unasema, products and services unazopata kwa TZS 400/- unataka zifutwe au zipandishwe bei? Hakuna kichaa aliwahi fanya hivi duniani tangu kuwepo kwa monetary exchanges
Mkuu uko sawa upstairs kweli?Sasa mia nne inaingiaje hapo mkuu?,fedha hizi za sarafu ndy zinasababisha uhaba na mzunguko mdogo wa fedha za note
Siyo Dola moja tu na cent zipo Hadi senti 1, ndiyo maana utakuta viatu vinauzwa $19.99 au $19.76Na mimi nakuuliza tena una shule kichwani? Kabla ya hoja yako umefikiria kuhusu vitu vidogo watanunuaje? Hata huo uchumi wa marekani bado wana dola moja!
ππJuzi nilikuta ugomvi mkubwa Sana kituo cha daladala baada ya konda kuvurugana na abiria wake kisa ni abiria kumpa konda elfu kumi kwa nauli ya mia nne tuu. Konda baada ya kukosa chenchi akamwambia abiria waende mpaka mwisho wa bus na atarudi naye mpaka anaposhukia kwani hana jinsi. Ikatokea abiria mmoja msamaria akamlipia huyo mama sh 400 ndo safari ikaendelea...
Akili yako imeganda...... hujui chochote.Hv umeelewa nilicho andika kweli,kiroba cha kubeba fedha za note!,utakuwa umechanganyikiwa ww
Kama unaona sarafu zinakusumbua zipeleke msikitini au kanisani, wape wajane na yatima, wagonjwa na walemavu ombaomba. Lakini sina uhakika sana kama unaweza kuwa mtu tajiri au unamiliki pesa π€Shida wp hizi sarafu ndy shida,fedha zikiwa kwa mfumo wa note hapatakuwa na usumbufu wa chenji kama ilivyo sasa
Hata nikizipeleka huko misikitini na makanisani,si zitarudi tena mtaani kununulia bidhaa?Kama unaona sarafu zinakusumbua zipeleke msikitini au kanisani, wape wajane na yatima, wagonjwa na walemavu ombaomba. Lakini sina uhakika sana kama unaweza kuwa mtu tajiri au unamiliki pesa π€
Kama elf 10 tu imenikalisha masaa yote haya hiyo elf 50 si nitakufa njaa huku kijijiniIshu ni kwamba fedha za sarafu zisitumike tena,yaani kuanzia shilingi mia tano ya note hadi elfu 50 sasa hapo utapata usumbufu upi wa kupata chenji
Tatizo ni bei ya bidhaa,ingekuwa bidhaa zote hazina mfumuko wa bei hilo lisingekuwa kikwazoKama elf 10 tu imenikalisha masaa yote haya hiyo elf 50 si nitakufa njaa huku kijijini
HahahhahhaahhahaaItabidi sasa serikali ipige marufuku baadhi ya mawazo
Pimbi huyu huyu wa sani au?Jamaa kawaza kipimbi sana!
Watindinga tumekukosea nini?Mawazo ya kitindiga!