Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo wamekosea na mimi nakuunga mkono.Lakini kwa vile ni mapendekezo au maoni tuyaache hivyo hivyo labda kuna jambo nyuma ya pazia.
 
Sahihi kabisa.
 
CHADEMA mmejitahidi kujenga hoja kisomi ila HOJA NAMBA 5 ni upumbavu mtupu mmeandika. Hiyo hoja itakuwa imeandikwa na Joyce Mukya.
 
Halafu Kama Hilo pendekezo moja ni baya, vipi Yale mengine.
Hayo mapendekezo mengine ndio the worst news in the stands.

CHADEMA wamesema wanataka vyama vipeleke majina ya watu watakaokuwa wabunge automatically. Na hao wabunge watakuwa 30% ya bunge la Jamhuri.

Here is the arithmetics:

Kuna wabunge 264 wa majimbo. Wakiwekwa wakuliwazana, mwanamke na mwanamme kila jimbo, wanakuwa 528.

Jumlisha 30% wa vyama. 30% ya 528 = 158. Jumla inakuwa 686. Bado wa Rais 10 na wa Baraza la Wawakilishi 5 = 15. Wakisema nao waliwazane, 15 X 2 = 30.... Jumla 716. Mwanasheria Mkuu mmoja. JUMLA KUU 717

Umeondoa viti maalum vya wanawake 113, umeongeza viti maalum vya vyama na vya jinsia 279 (yani 264 + 15)!


Bunge la watu 717. Mshahara milioni 16 unusu, Land Cruiser la mil 400, na posho na gharama za safari za Uarabuni kupitisha mikataba. Nchi ya wanawake masikini wachafu, dirt poor, wanaokufa wanajiona kwa uchungu wa uzazi, kwa kukosa laki unusu ya upasuaji. Bendera ya CHADEMA leo inapepea nusu mlingoti vibarazani mwetu.

Party secretary John Mnyika, an integral pillar of the former Zitto-Mkumbo-Mnyika trifecta that helped vault the party to national prominence and formidable election success in past decades, is now writing white papers calling for doubling the size of the one-party CCM legislature. All the while, Chairman Mbowe is accepting bribes from the President dressed up as church donations. CHADEMA party has unabashedly joined the CCM crime conglomarate.
 
Wakitzama wanaona mapendkezo y CDM yanawaxema na wao ndo sbb kua na msimamo hasi tokea mwanzo, kama vile wametumwa kuyazuia na aliye waweka kusimamia hiyo shughli. Walitakiwa kuyachkua yote yalivo na sio kyachuja. Tabia hiyo ina-reflect yanayo zungmzwa kuh. chaguzi zetu na ambayo ndio yanayopingwa. Kwangu mie, tumeliwa - 1. Watu waende/wasafiri umbali mrefu kuchangia 2. Muda mfupi wa kuchangia kw mamilioni y waTz 3. Kuchangia wenye access na miswada/mada husika tu. Huenda hawaktegmea response kama ilivojitokeza. Kw misingi hiyo, tumeliwa - muda wetu, akili zetu, mategmeo yetu na kodi zetu... je, baada ya kuona hayo, tujiulize- kuna seriousness yyte ktk hili jambo au ni matmizi mengne ya hovyo ya kodi zetu!?
 
CCM haiwezi kukubali kudhalilishwa hivi hizi hoja lazima ziwekwe kwenye dustbin! Kwingine kote naungana na CHADEMA isipokuwa kwenye idadi ya wabunge tu. Looh, tutakuwa na wabunge wengi sana, fikria kama tuna majimbo >300, ufanye mara 2 yake wawe >600 ujumlishe sasa na 30% ya wabunge kutoka vyama vya siasa hapo unaongelea wabunge >780. Hapana hawa ni wengi sana maanake hata ukumbi wa bunge ujengwe upya, mashangingi yaongezeke! Hii haiwezekania
 
Hapa nami kama NAKUUNGA mkono,kusiwe na mgombea Me na Ke kwa kila JIMBO,ila tuwe na WAGOMBEA KE kupitia MIKOA,so wanawake wagombee kupitia tiketi ya mkoa...so tutakuwa na Mbunge Wanawake,Mkoa X

Hii itasaidia kupunguza utitiri wa wabunge lakini pia matatizo ya Wanawamke mara nyingi,kimkoa yanafanana

Mwisho Bunge letu ni KUBWA sana,nadhani majimbo yapunguzwe kwa kuwa kwa sasa tuna miundo mbinu bora+ simu lakini pia tuna mabaraza ya madiwani ambao wanaweza kufile changamoto zao na kuzifikisha kwa Mbunge or TAMISEMI moja kwa moja..Natamani tuwe na mbunge mmoja toka kila Wilaya
 
Machadema yameanza kuwasema ccm Leo? Huko Nje si wanaongea hayo hayo? Bungeni si walikuwa wanaongea hayo hayo?

Labda namna ya uwasilishwaji wa hoja ndio shida Kwa sababu Machadema Huwa Yana matusi na stress mda wote.
 
Kwani wewe ndie mke wa mwigulu? Samahani nimeuliza tu swali hili samahani tena
 
tuwe na WAGOMBEA KE kupitia MIKOA,so wanawake wagombee kupitia tiketi ya mkoa...

Hii itasaidia kupunguza utitiri wa wabunge
Itasaidia vipi kupunguza "utitiri wa wabunge" kama bado unapendekeza kuongeza kundi lingine la tiketi ya wanawake kupitia mikoa ?????

Nilidhani tumefika mahala wanawake hawataki tena kutamka "hatuwezi bila kuwezeshwa na mwanamme." Kumbe bado mwanamke hajiwezi bila kushikwa mkono ?

Bunge limejaa CCM watupu, CHADEMA wamependekeza liongezwe idadi mara mbili! Hawaoni huruma na pesa ya mwananchi kapuku. Moral bankcruptcy and foolish policy proposals are kneecapping the party.
 
Unaona eh! Yaleyale ya 2019 na 2020 yamejirudia katika kutoa mapendekezo.Kwa vile Rais na chama chake hawawapendi/hawawataki CHADEMA hata kama CHADEMA wataenda na pendekezo la Rais Samiah kutawala milele litatupiliwa mbali hata kabla ya kusoma,ila likirushwa kwenye mitandao wakilisoma na kuona CHADEMA walikuwa na nia njema kwa Samiah basi Samiah atakaa na watu wake Ikulu kuwaomba wawatafute Chadema kujadiliana mambo ya kuvumiliana kisiasa na kuwaomba warudie tena ajenda yao.Huo ndiyo upumbavu wa ccm kuja kushtuka shuka baada ya kucha.
 
Hoja ya mgombea binafsi.
1. Haihitaji asiwe mwanachama kwa kipindi cha muda mwaka mmoja. Ibakie wazi ili mradi athibitishe kuwa sio mwanachama wa chama cha siasa wakati anakuja kuchukua fomu.

Sifa za mgombea binafsi inabidi ziboreshwe tu. Asijotokea mzee mpili ama likwidi kisa ni maarufu tu simba na yanga akaungwa mkono na kuukwaa urais.

Namna gani kuunda serikali ikitokea ameshinda uchaguzi?

2. Hoja za wagombea wawili “Me & Ke”.

Hii haina tija, kwanza inaenda kuongeza mara 2 ya wabunge na kufanya gharama kubwa. Pia inaondoa ushindani kwa kuzingatia jinsi(Gender).

Ni nafuu kuzitenga hizi nafasi zibakie kwenye uteuzi wa rais kwa mfano wabunge 10 wanawake na 5 wanaume ili kumpa nafasi rais ya kupata watu anaona watamsaidia kuendesha mipango yake ya kiutawala.

3. Hoja ya kumtangaza rais kuwa mshindi.
Binafsi ningependa kuona mfumo wa marekani ukitumika iwe kwa duru ya kwanza ama ya pili.

Nawapongeza chadema kwa kuwa wawazi ni namna gani mapendekezo yawe. Hii ndiyo namna nzuri ya kushirikisha watu vinginevyo watu watakutana navyo kwenye utekelezaji.
 
HAPA NDIPO CHADEMA NINAPOIPENDA. FULL NONDO, HAKUNA KUMUONA NYANI USONI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…