Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeliona hilo? Leo hii kuna umuhimu gani wa serikali ya ccm kuwa na DED na DC wilaya moja?

Wote wanakuwa na magari ya kifahari huoni kuwa ni ifujaji wa rasilimali za taifa?

Wacha kujiondoa akili kwa sababu ya kulazimisha uteuzi
Nijibu kwanza suali langu kuwa je unaona ni sawa jimbo moja liwe na wabunge wawili kama inavyopendekezwa na CHADEMA? Unaona ni sawa kuwabebesha gharama kubwa watanzania?
 
Jadili vitu kama mtu mzima na kutoa ushauri na hoja kama mtu uliye pevuka kifikra na kimawazo na siyo kuandika vitu na kuzungumza kama vijana waliozibuka akili na kukosa malezi bora ya wazazi wao.

Ukubwa wa umri ni pamoja na kuonyesha uongozi katika kila jambo ikiwepo katika ujenzi wa hoja na kujadili hoja.siyo kuandika maneno ya kwenye kanga na vijiwe vya wavuta bangi.
Hivi wewe unatumia busara gani?
Mtu na akili zako unajiita CHAWA?
 
Umekurupuka Kaka, hizo enzi zimepita.Angalia namna nyingine ya kuishi, mapema kabla uzee haujakuelemea.Kama mambo ni magumu sana, nenda ukawe hata CHAWA wa Mwijaku inaweza kuwa na tija kwako kuliko hii ligi unayoitamani.
Wachana na CHAWA
 
Weka kwanza mapendekezo ya CDM kwa Kamati tuyasome yote ili tuone na wewe umeandika nini, maana tunajua nyie watu wa kusifu na kuamudu aka chawa wa mama mlivyo wapotoshaji.
 
Kwanza ni ujinga Kuzuia yasisomwe Kwa sababu ni mapendekezo sio gauge ya maamuzi.

Pili yameshatoka public so Haina maana.kuzuia.

Tatu ni madai ya Chadema Kila siku na Kila mara wanayasema hayo Toka enzi na enzi Kwa hiyo hakukuwa na sababu ya msingi Kuzuia.

Mwisho Uamzi wa kuchukua aunkutochukua maoni ya Chadema unasalia Kwa kamati so mambo mengine ni ujinga wa watu wa Serikali.
Wamewaongezea political mileage kwa uamuzi ule !
 
Jibu swali eqe mmawia .niambie kuna sababu gani na umuhimu upi kwa utafiti upi mpaka jimbo moja liwe na wabunge wawili? Kwanini CHADEMA wanataka kuongeza gharama na mzigo kwa mlipa kodi? Je ndio maendeleo hayo?
Unajaribu kupotosha ili wajinga wenzio wampelekee Mama yenu Taarifa upate teuzi? CHADEMA wamependekeza majimbo mqngapi ya Uchaguzi Hadi Wabunge wawe wengi kuliko wa Sasa? Yaani mikoa 32 ikiwa na Wabunge wawili wawili watazidi Idadi ya Wabunge wa Sasa? Ni mabadiliko gani ya maana yaliyoletwa na mkoa mmoja kuwa na Wabunge 10?
 
Hawa wabunge wa mchongo wana dhani kila kitu ni mchongo.
Nionavyo mie japa Mh Rais ana nia njema ila hawa chawa hawako tayari kuwe na mabadiliko.
Lakini wana sahau siku hizi kuna utandawazi.
Na hapa waya futd basi.. Shenzi kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa mimi siyo mvivu katika kusoma na huwezi u

0742-676627.
Chadema imejaa ma confident fools. Wajinga wenye kujiamini na kinaongozwa na wajanja wenye kuweka mbela matumbo yao.

Ukitaka kujua chadema ni wajinga angalia jinsi wanapinga wakurugenzi wa wilaya kutumika kwenye uchaguzi. Wanataka eti wafanyakazi wa tume wasiteuliwe na rais wala kua wanachama wa chama chochote. Eti wakiteuliwa na rais ambaye anatoka ccm watakua ni ccm kwa hivyo hawatajali hata wakiapa kutoipendelea ccm.

Wao wameshaamini ccm ndio iko madarakani milele na sio kwa kuchaguliwa na wananchi. Kama ni mjuzi wa mambo ya utawala utaona hapo tu walivyo wajinga. Eti tume iajiri watu wake sio wateule au wawe wafanyakazi wa serikali na pia sio wanachama wa chama chochote🤣🤣. Tume inakua na shughuli kwa wingi kila baada ya miaka 5 tu kwa hivyo kuna suala la gharama kuzingatiwa. Sijui wanataka tume yetu ya uchaguzi iwe ya umoja wa mataifa au ichaguliwe toka ulaya na marekani na wazungu?🤣😂😂😂
 
Unajaribu kupotosha ili wajinga wenzio wampelekee Mama yenu Taarifa upate teuzi? CHADEMA wamependekeza majimbo mqngapi ya Uchaguzi Hadi Wabunge wawe wengi kuliko wa Sasa? Yaani mikoa 32 ikiwa na Wabunge wawili wawili watazidi Idadi ya Wabunge wa Sasa? Ni mabadiliko gani ya maana yaliyoletwa na mkoa mmoja kuwa na Wabunge 10?
Acha ujinga wako wewe uwe unasoma na kuelewa na siyo kukurupuka tu kama kichaa. CHADEMA wamependekeza ni katika kila jimbo kuwe na wabunge wawili na siyo kila mkoa .nenda kasome hoja yao namba tano. Acha kukurupuka tu kama mlevi wa gongo.
 
Weka kwanza mapendekezo ya CDM kwa Kamati tuyasome yote ili tuone na wewe umeandika nini, maana tunajua nyie watu wa kusifu na kuamudu aka chawa wa mama mlivyo wapotoshaji.
Mimi sijapotosha popote pale
 
excelent mapendekezo. Nondo hizi CCM/serikali haiwezi kuzikubali maana ikizikubali mekwisha! Let us wait and see!
Serikali ni ya wananchi na wananchi ndio wanatakiwa kutunga katiba hivyo wanalazimika kukubali matakwa yao, atakaye kataa ni CCM ambayo ni kikundi cha wanachama ambao wameamua kilichomo ndani ya katiba ni lazima kitokane na mapendekezo yao tu na si vinginevyo.
 
Safi sana chama changu pendwa. Sijutii kuwa mwanachama wako miaka 24 Sasa.
 
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????

Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????

Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!

Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!

Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?

Most imbecilic proposition in political history of the world

Wewe kweli mjinga , soma uelewe. Majimbo yanaweza kupunguzwa kulingana na idadi ya watu na pia viti maalumu vitafutwa. Halafu Kama Hilo pendekezo moja ni baya, vipi Yale mengine.
 
Mapendekezo mazuri sana. Sasa tuone hizo 4R ambazo tunajua ni utapeli zitasimama wapi.

Hizo 4R zipo kisiasa sana. Kama wangekuwa wakweli ilitakiwa wao ndio walete mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA. Ila Sasa inaonekana CHADEMA ndio wenye 4R.
 
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????

Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????

Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!

Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!

Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?

Most imbecilic proposition in political history of the world

Kwa hivyo tuendelee na viti maalumu
 
Mapendekezo yamejikita kwenye 4R za Mama Kizimkazi!
Huu mkeka umesukwa kiufundi sana,CCM hawawezi kukubali!
 
Mapendekezo mazuri yepi?

Dirt poor Third World country mnataka bunge la sasa la watu 400 liwe na watu 800!

Halafu you know full well CCM watazoa vast majority of those seats, kwa halali au kwa kuiba au kwa kuua watu. CCM siku zote wanazoa preponderant majority of the seats. Kwa hiyo mnapendekeza kuwaongezea CCM nafasi bungeni ili waongeze kula na kuvimbiwa jasho la wananchi.

Mna nini vichwani
?

Pendekezo moja kati ya arobaini, umelishikia bango. Wao wameleta solution kwa issue ya viti maalumu. Hatuwezi kuendelea kulipa wabunge wa dezo.
 
Kwanza ni ujinga Kuzuia yasisomwe Kwa sababu ni mapendekezo sio gauge ya maamuzi.

Pili yameshatoka public so Haina maana.kuzuia.

Tatu ni madai ya Chadema Kila siku na Kila mara wanayasema hayo Toka enzi na enzi Kwa hiyo hakukuwa na sababu ya msingi Kuzuia.

Mwisho Uamzi wa kuchukua aunkutochukua maoni ya Chadema unasalia Kwa kamati so mambo mengine ni ujinga wa watu wa Serikali.

Wasipo yapokea maoni ya CHADEMA wataonekana wanaigza na hiyo 4R yao ya kinafiki.
 
Back
Top Bottom