Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliye na pdf atuwekee ili iwe rahisi kuipakua na kuihifadhi!
 
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????

Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????

Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!

Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!

Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?

Most imbecilic proposition in political history of the world
Umeyasoma vizuri hayo mapendekezo?
 
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????

Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????

Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!

Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!

Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?

Most imbecilic proposition in political history of the world
Asee unajua kingereza sana
 
CHADEMA hawajasema wanataka vikao vya bunge vipunguzwe wala malipo yapunguzwe. Wamesema, kwenye submission yao ya John Mnyika leo, wanataka kila jimbo liwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa, mmoja mwanamke mmoja mwanamme.

Kwa hio, kwa mapendekezo ya CHADEMA, bunge hili la sasa la watu 400 linaenda kuwa na watu 800!

Tuwe na Rais wa kike na kiume basi! Na diwani mwanamke na mwanamke. Mana tunatafuta jozi za wawili wawili wa kwenda kuchumbiana kwenye vikao!

Ni mtu gani mwenye akili kichwani, wa chama cha upinzani cha nchi ya dunia ya tatu, ya watu masikini wa kutupwa, wachafu wenye njaa, wanaoshindia mihogo na maji machafu ya mitoni, biashara za masinia ya ndizi vichwani, boda boda na mama ntilie, anaependekeza kuongeza gharama za kutajirisha viongozi ???
Hujui hesabu, kuna Idadi ya wabunge wa viti maalum zaidi ya 100 wanaondoka kuteuliwa na vyama badala yake wawe wanachaguliwa
 
Kwanza ni ujinga Kuzuia yasisomwe Kwa sababu ni mapendekezo sio gauge ya maamuzi.

Pili yameshatoka public so Haina maana.kuzuia.

Tatu ni madai ya Chadema Kila siku na Kila mara wanayasema hayo Toka enzi na enzi Kwa hiyo hakukuwa na sababu ya msingi Kuzuia.

Mwisho Uamzi wa kuchukua aunkutochukua maoni ya Chadema unasalia Kwa kamati so mambo mengine ni ujinga wa watu wa Serikali.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa mimi siyo mvivu katika kusoma na huwezi ukanificha jambo kwa kuliweka kwenye maandishi kwa matarajio kwamba sitasoma.

Ili andiko langu lisiwe refu sana basi Leo nitawapitisha katika hoja namba tano inayohusu aina ya wabunge na hoja namba nane inayohusu muundo wa tume na mapendekezo waliyopendekeza CHADEMA.

Ndugu zangu Watanzania imenisikitisha sana tena sana kunihuzunisha, kunishangaza, kuniduwaza, kunisononesha,kunipa mawazo, kunistajaabisha, kunipa maswali yasiyo koma niliposoma mapendekezo ya CHADEMA katika aina ya wabunge katika hoja yao namba tano.

Kwamba sasa CHADEMA wanapendekeza kuwa katika kila jimbo kuwe na wabunge wawili wawili watakaochaguliwa na wananchi kwa kufuata jinsia na makundi, yaani kutakuwa na mgombea mwanamke na mwanaume katika kila jimbo la uchaguzi ambapo mwanaume atapigiwa kura na wanaume tu na mwanamke naye atapigiwa kura na wanawake wenzake. halafu hapo hapo mwisho wa siku baada ya kumaliza uchaguzi mkuu CHADEMA wanataka na kupendekeza tena kuwe na wabunge wa viti maalum wasiopungua 30% ndani ya bunge letu.

Pia kwanini kuwe na viti maalumu tena wakati tayari mmeshapendekeza na kutaka kuwa kila jimbo lazima awepo mwanamke? Sasa hao viti maalum wanaingia kufanya nini tena bungeni? Kwani nini yalikuwa madhumuni ya kuanzisha viti maalumu? Si yalikuwa ni kuleta usawa wa kijinsia? Sasa kama mmependekeza kuwepo mwanamke kila jimbo halafu unataka tena viti maalum vya nini ? Hivi CHADEMA mna akili kweli ninyi?

Hivi nani aliyependekeza ujinga huu ndani ya CHADEMA? Kwa faida ya nani? Kwa jasho la nani ? Kwanini CHADEMA wanataka kutubebesha mzigo Watanzania walipa kodi? Kwanini wanaangalia maslahi yao na matumbo yao na kutusahau wananchi walipa kodi? Kwanini wanataka pesa zote na makusanyo yote ya nchi yaelekezwe katika kulipa mishahara na marupurupu ya wabunge? Kwanini tuache kufanya maendeleo na tujikite katika kulipa mishahara na kuwalea na kuwatunza wabunge kwa jasho letu? Yaani badala ya kufikiri namna ya kupunguza gharama wao wanaongeza gharama? Yaani jimbo liwe na wabunge wawili ? Halafu tena baadaye mpewe tena viti maalumu?

Hivi kwanini ninyi CHADEMA mbatupatia saba hasira na kichefuchefu Watanzania? Kwanini mnatia kinyaa? Hivi kama hamna hoja kwa nini msikae kimya? Hivi huu ndio ujinga na uhayawani mliokuwa mmekalia siku zote mnaujadili kwa ajili ya maslahi ya mimatumbo yenu kuijaza? Tutakuja kula kwenye matumbo yenu? Mtatuwekea bomba la chakula kutoka kwenye matumbo yenu? Yaani sisi tuhenyeke halafu ninyi mnataka kujiwekea uchochoro wa kutafuna pesa za nchi? Mna akili kweli ninyi?

Kwamba tuwe na wabunge wengi kuliko hata uingereza? Nani kasema na kwa hoja ipi na kwa utafiti upi na kwa ushahidi upi na kwa mifano ya wapi na kwa misingi ipi na kwa vigezo vipi na kwa namna gani? wingi wa wabunge katika jimbo moja kunachochea maendeleo katika jimbo? na vipi mbunge mmoja hawezi kuleta maendeleo katika jimbo mpaka wawe wawili? Kwa nini pesa za kumhudumia mbunge wa pili kuanzia mshahara,pesa ya usafiri au gari,posho za kikao,safari,kamati,kiinua mgongo zisipelekwe katika jimbo husika kuchochea maendeleo ya wananchi?

Kwanza kwanini mnataka mlete ubaguzi katika kupiga kura? Kwa kuwa pendekezo lenyewe ni la kibaguzi tu.utaanzaje kusema kila jinsia impigie mtu wa jinsia yake? Siyo ubaguzi huu? Siyo kuvunja umoja, mshikamano, upendo na nguvu katika majimbo na hatimaye Taifa zima kwa ujumla wake na hivyo kuzorotesha maendeleo katika majimbo na Taifa zima kwa ujumla wake?

Kwanini mnakuwa walafi sana na wenye uchu wa madaraka ninyi CHADEMA? Kwanini siku zote mnajifikiria matumbo yenu na familia zenu pekee? Mmegikiria kuwaza maisha ya watanzania na vipato vyao? Mngewaza maisha ya watanzania mngeanzia wapi kupendekeza ujinga wa namna hiyo?

Kwa hakika mlaaniwe kabisa ninyi mliokosa akili za kutambua maisha ya watanzania na vipato vyao na uzalendo kwa Taifa letu .Mungu awaalaani na kuwapiga upofu katika kila kitu. Nawaombea mpigwe pigo kama la 2020 msiwepo kabisa Bungeni ,maana hamna faida yoyote ile zaidi ya kujali matumbo yenu na maslahi yenu na kuja kuleta vibuli mtaani mkishavimbwiwa kodi zetu kama ambavyo mmekuwa mkitutukana kama alivyo fanya Godbless Lema kwa kusema kazi ya bodaboda ni ya laana.

Nitaendelea kuchambua hoja namba nane katika uzi mwingine.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Nimekushauri tu kwa sababu huko CCM thamani ya Dr Mdude ni kubwa kuliko wewe unayekesha Kutangaza namba ya Simu kama Mganga wa Kienyeji!
Kwani wewe na Mdude mnatofatiana nini? Kama unaweza kumwona mvuta bangi kama Mdude ana akili unafirikiri wewe utakuwa mtu wa aina gani? Ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza Mdude?

Na wajinga tu na wasio jitambua na wavuta bangi wwenzake ndio wanaweza kumchukulia Mdude kama mtu aliye sawa kichwani.

Tunaomfahamu Mdude na namna alivyotumia mibangi kwa muda mrefu tunafahamu kuwa akili yake ilishaharibika. Ndio maana huwa anafanya kazi ya kuropoka tu kama kichaa au mwendawazimu
 
Ndivyo alivyosema Mnyika? Kwamba anataka wabunge wawili katika kila jimbo la Uchaguzi,mmoja mwanaume na mmoja mwanamke; na kwamba yule mwanaume awe kapogiwa kura na wanaume,; na yule mwanamke awe kapigiwa kura na wanawake? Ha ha ha.

Nadhani system ya sasa ndio nzuri.

Kura zinapigwa bila kutazama gender ya mtu.

Kama unataka wanawake wawepo bungeni unaweza kuwapa seat za upendeleo.
 
Kwani wewe na Mdude mnatofatiana nini? Kama unaweza kumwona mvuta bangi kama Mdude ana akili unafirikiri wewe utakuwa mtu wa aina gani? Ni nani mwenye ....
Umeambiwa uwe unajibu kwa takwimu kama yule msafwa Choicevariable badala ya kuwa mbea mbea na hako kanamba la Uteuzi ulikopewa na Mganga wa Kienyeji 😂

Halafu wewe utakuwa ni Luclesia siyo Lucas kwa sababu hakunaga mwanaume Lijali anaogopa bangi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa...

Mzee kwani hamna cha kuongelea huko sisiemu? Utapasuka roho juu ya Chadema, jiwe alihangaika nayo akafa yeye!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa mimi siyo mvivu katika kusoma na huwezi ukanificha jambo kwa kuliweka kwenye maandishi kwa matarajio kwamba sitasoma...
Unawashwa sasa unatafuta mwanaume akukune
 
Back
Top Bottom