Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change.
Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili.
Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi pamoja kwa miezi 6.
Ma single mother wanadharauliwa mitaani na kuonekana kama laana na mwiko.
Wazazi hawataki vijana wao kwenda kuoa binti mwenye mtoto.
Wako radhi akaoe binti asiyezaa huku huyo kijana wao ana mtoto tayari aliyezaa na binti ambaye anaitwa single mother.
Iwe ni sharti watu wawili wakizaa wahesabiwe kuwa ni wanandoa isipokuwa wale tu ambao kati yao hakuna hata mmoja aliye tayari kuwa mume/mke wa mwenzake.
Ikiwa binti atahitaji kuhesabiwa kama mke halali wa mwanaume aliyemzalisha hapo hakuna excuse, pia
Ikiwa mwanaume atahitaji kuwa mume halali kwa mke aliyemzalisha hapo hakuna excuse.
Sasa nchi yote kila ukoo na familia kuna janga la single mother. Watoto wanakosa haki na thamani zao katika jamii.

Upvote
0