Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

Hua mnakua kama hamtaki kabisa ukuni yani hamtaki kabisaa basi na sisi tunawaacha
Naamaanisha mtu ambae mpo katika uhusiano kabisa mshatongozana mkakubaliana, ila miti hakuna....
Sio hiyo ya kukimbizana kama jogoo na mtetea sitaki nataka
 
Eve bhana! Ndo nani huyu Angelo? Nimesoma hapo kwenye posti yako sikuelewa sana anaingia vipi. Hebu nielimishe kidogo ticha.
Character mmoja kwenye tamthilia ya kifilipino jina silikumbuki sijui long wait sijui nini alikua akiitwa Angelo
 
Dah...Kama miamala nayo haisomi hakuna shida...
 
Naamaanisha mtu ambae mpo katika uhusiano kabisa mshatongozana mkakubaliana, ila miti hakuna....
Sio hiyo ya kukimbizana kama jogoo na mtetea sitaki nataka
Kama hivyo basi mkuyenge unashida, wewe kipindi anakubusu anakushika anasepa ulikua huon mdindisho ukajisevia zako, au alikua nae chama kubwa na unajua
 
Wanzinzi wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa liwakalo moto
 
Tuamini nini? A. Try your luck
B. Kiss and say goodbye..
uki try your luck utaambiwa uko so fast.
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Usipoomba si nakubaka tu.
Umepewa passport safiri aiseee!!.
Igonge muhuri mpk wakupe nyingine ujaladie!!

Safiri tu aiseeh!!
Tairi zima.
Mafuta full tank
Udereva unajua
Spea safiiiii
Niiiiini tens kimebaki?
Kanyaga twende babaaa!!
 
Hafu wa hivyo ni ule unampenda sanaa eti unamvumbika tu unagonga kwingine

Bila kujali na yeye anatamani mwiaho akutane na msela amle kisela ndo kupotezewa bila kuambiwa kosa lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…