Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Woiiiii😂😂😂😂Lyn me staki bhana aah...Wapo hivi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woiiiii😂😂😂😂Lyn me staki bhana aah...Wapo hivi.....
Eve bhana! Ndo nani huyu Angelo? Nimesoma hapo kwenye posti yako sikuelewa sana anaingia vipi. Hebu nielimishe kidogo ticha.Okay Angelo poa
Naamaanisha mtu ambae mpo katika uhusiano kabisa mshatongozana mkakubaliana, ila miti hakuna....Hua mnakua kama hamtaki kabisa ukuni yani hamtaki kabisaa basi na sisi tunawaacha
Weekend hii
Character mmoja kwenye tamthilia ya kifilipino jina silikumbuki sijui long wait sijui nini alikua akiitwa AngeloEve bhana! Ndo nani huyu Angelo? Nimesoma hapo kwenye posti yako sikuelewa sana anaingia vipi. Hebu nielimishe kidogo ticha.
Na makucha yakeKumekucha
😂😂😂 Acha hizo ticha! Ila umepatia kiasi Fulani.Character mmoja kwenye tamthilia ya kifilipino jina silikumbuki sijui long wait sijui nini alikua akiitwa Angelo
Dah...Kama miamala nayo haisomi hakuna shida...Eti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Dah... au....ENDELEA KUSHIKA PEMBE, WENGINE WATAKAMUA.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akija mvalie khanga imeandikwa OMBA UTAPEWA, labda atakuelewa.
Dah! Hilo zali ningepata mimi! Asalaleeeee?.
Kama hivyo basi mkuyenge unashida, wewe kipindi anakubusu anakushika anasepa ulikua huon mdindisho ukajisevia zako, au alikua nae chama kubwa na unajuaNaamaanisha mtu ambae mpo katika uhusiano kabisa mshatongozana mkakubaliana, ila miti hakuna....
Sio hiyo ya kukimbizana kama jogoo na mtetea sitaki nataka
Nlikua na akili za kisichanan you know wora m sayinKama hivyo basi mkuyenge unashida, wewe kipindi anakubusu anakushika anasepa ulikua huon mdindisho ukajisevia zako, au alikua nae chama kubwa na unajua
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mi kama nyau, nakula bar tu sipiki.
I know momah kama akili za kisichana ndio vile basi nathubutu kusema nyie mliokwisha kukua ni watamu sanaNlikua na akili za kisichanan you know wora m sayin
Wanzinzi wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa liwakalo motoEti unakua na mpenzi ila hata hamueleweki wahindi si wahindi kuch kuch hotahe zisizoisha, wafilipino si wafilipino Cielo sio Angelo sio ila mpo tu mapenzini.
Kukicha ni meseji tu nakupenda nakupenda pia, nakumiss nakumiss pia, umeshindaje salama, usiku mwema nakupenda sa ndo manini??!
Mapenzi bila kufwanya hainogi hata, mnakua mmepoaa ni kama msosi usio na chumvi, ni kama mboga za majani bila kitunguu zinakua kama mitishamba tu, mapenzi yanakosa ladha kabisa, kufwanya kunaleta amsha amsha mapenzini panachangamka mioyo inafurukuta tu muda wote, mtu haufanyi unapoaa masikini hadi moyoni panapata vumbi.
Halafu mtu asieomba mi huwa simuelewi hata, enzi za ujana wangu nlishawahi kuwa na dizaini hii ya kifilipino anakuja ananibusu ananishika anasepa, muda wote ananicheki, akipiga simu nisipokee anamind yani ugomvi hasa, yanapita anakuja nawaza labda ataomba atanikiss atanishika anaaga, nikawaza huyu sijui ni katibu mwenezi wa chaputa!! Nami nlikua kama sista nikawa namcheki tu tuliendelea na ufilipino kama miaka miwili hivi tukapotezana.
Mapenzi ni purukushani kufwanya buana, mapenzi ni miti buana sio kushangaana shangaana tu tunakanyagiana waya na kumaliziana unit bureeee!!!!!!
Kama nakuona utakavokua unatuzomea huku tunaungua, aiiii we mtumishi vibaya hivo.Wanzinzi wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa liwakalo moto
Akikuambia uko so fast, muulize tu fresh kuwa usubiri hadi lini ndo iwe sio fastTuamini nini? A. Try your luck
B. Kiss and say goodbye..
uki try your luck utaambiwa uko so fast.
Hafu wa hivyo ni ule unampenda sanaa eti unamvumbika tu unagonga kwingineHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Usipoomba si nakubaka tu.
Umepewa passport safiri aiseee!!.
Igonge muhuri mpk wakupe nyingine ujaladie!!
Safiri tu aiseeh!!
Tairi zima.
Mafuta full tank
Udereva unajua
Spea safiiiii
Niiiiini tens kimebaki?
Kanyaga twende babaaa!!