Mapenzi bila pesa magumu

Wanawake wangejua hili wangeshanidaka. Mtu day 1 tu vizinga kibao
Inashangaza sana mkuu, halafu inakata mzuka wa kuwa na manzi kama huyo kwenye mahusiano.

Mwisho wa siku tunawapiga hit and run wanaanza kutulalamikia kumbe wao ndio wanasababisha.
 
Punguza hasira,,ukiitwa Malaya hauoti upele bro
Hakuna mwenye hasira. Wewe kama unauza kumer sema tu from the first acha janja janja za kuhalalisha umalaya wako eti ambae haumpendi ndio unakula hela zake
 
Hakuna mwenye hasira. Wewe kama unauza kumer sema tu from the first acha janja janja za kuhalalisha umalaya wako eti ambae haumpendi ndio unakula hela zake
Haiuzwi Wala haitolewi Bure ndio utajua hujui
 
Sina hela ndio maana naogopa. Ukiwa na hela mbona vibomu unampa tuu mrembo akupee mbususu
Sasa, hata zamani walikuwa wanabadilishana mchele na mahindi nashangaa siku hizi hamtaki kubadilishana
 
Kwa sisi wanaume ambao hatuombwi pesa sijui tusemeje, life haiko fair kabisa
 
Sasa, hata zamani walikuwa wanabadilishana mchele na mahindi nashangaa siku hizi hamtaki kubadilishana
Tatizo pia vibomu mwatupiga sie ambao hamtupendi mbona hao mnaowapenda mnazipelela mbususu bila ata kuomba hela ya nauli?
Kilio chetu ni kwamba kama hamtufeel basi msituombe hela...kasakeni attention kwa hao hao mnao wapenda
 
Sijui kwa Nini nimesikia huzuni,nikikumbuka yule mpenzi A ambavyo namuonea,ni mabomu tuu,wakati mpenzi B yaani hata natamanigi nimnunulie mwezi nimpe ,sitaki hata kumi yake🙄🙄🙄
 
ndio maana nzima ya uwajibikaji, mwanaume lazima uwe muwajibikaji kuanzia maisha yako binafsi hadi kwenye mahusiano. Nje na hapo unatafsiriwa kuwa unakwepa majukumu yako.
Hivi mnavijua viapo vya ndoa....... ukivisoma viapo vya ndoa vinareflect utu, upendo husiojali chochote hayo ndio mapenzi na huko ndipo kupendwa. Kinyume cha hapo utakuwa unanunua ngono kwenye kwa mpenzi wako.

Kuwajibika hatukatai ila kwenye maisha kuna changamoto na ndio maana kwenye viapo vile wameiclude hizo changamoto.
 
Hakuna mwenye hasira. Wewe kama unauza kumer sema tu from the first acha janja janja za kuhalalisha umalaya wako eti ambae haumpendi ndio unakula hela zake
Mbona hampendi kuambiwa ukweli mkuu. Mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kuwinda vipesa vyako. Hili nimeli experience na wala sijahadithiwa.

Mimi nina mwanamke ananipenda haniombi hela , sanasana akisikia nina shida anasema nahitaji kiasi gani anipatie. Sina tabia ya kumuomba kitu lakini hapendi kuona ninapitia changamoto yoyote. Mimi nina kipato changu na yeye ana kipato chake pia. Wote ni singles, hakuna aliyeoa au kuolewa
 
mfumo wangu ni kuwa , sitongozi Demu aliyewahi onja hela yangu, haijalishi ni sh. ngapi?.....Kama nimemkubali na nina mpango wa kumtongoza na akaniomba hela kabla sijamtongoza, namjibu simple tu kuwa sina,...

Wanawake wengi niliowahi kuwa nao kwenye mahusiano, swala la fedha halikuwa shida sana kwangu, kwani wengi walikuwa wakijua kabisa kuwa uchumi wangu ukoje kabla hawajaingia nami kwenye mahusiano....

wanawake wengi ukiwapa pesa kabla ya kuingia nao kwenye
mahusiano (hata kama ulifanya n msaada tu, hukuwa na nia ya kuwa nae kimapenzi)wanasubiri uwatongoze na wakiingia kwenye mahusiano wanawaza pesa zaidi....

kwangu mimi n mwiko kutongoza mwanamke niliyemsaidia kifedha, mpaka Mademu wengine wananichana live kuwa sieleweki....

kwa KIFUPI kama unatafuta mwanamke jiondoe kabisa kwenye mfumo wa muonekano wa wenye pesa(fake life)..lakini pia USISAHAU kumuhudumia demu wako pia ni wajibu wako, hivyo mpe support kadri ya UWEZO WAKO...
 
Sijui kwa Nini nimesikia huzuni,nikikumbuka yule mpenzi A ambavyo namuonea,ni mabomu tuu,wakati mpenzi B yaani hata natamanigi nimnunulie mwezi nimpe ,sitaki hata kumi yake🙄🙄🙄
Ndio mambo yenu hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…