mfumo wangu ni kuwa , sitongozi Demu aliyewahi onja hela yangu, haijalishi ni sh. ngapi?.....Kama nimemkubali na nina mpango wa kumtongoza na akaniomba hela kabla sijamtongoza, namjibu simple tu kuwa sina,...
Wanawake wengi niliowahi kuwa nao kwenye mahusiano, swala la fedha halikuwa shida sana kwangu, kwani wengi walikuwa wakijua kabisa kuwa uchumi wangu ukoje kabla hawajaingia nami kwenye mahusiano....
wanawake wengi ukiwapa pesa kabla ya kuingia nao kwenye
mahusiano (hata kama ulifanya n msaada tu, hukuwa na nia ya kuwa nae kimapenzi)wanasubiri uwatongoze na wakiingia kwenye mahusiano wanawaza pesa zaidi....
kwangu mimi n mwiko kutongoza mwanamke niliyemsaidia kifedha, mpaka Mademu wengine wananichana live kuwa sieleweki....
kwa KIFUPI kama unatafuta mwanamke jiondoe kabisa kwenye mfumo wa muonekano wa wenye pesa(fake life)..lakini pia USISAHAU kumuhudumia demu wako pia ni wajibu wako, hivyo mpe support kadri ya UWEZO WAKO...