Mapenzi bila pesa magumu

Mapenzi bila pesa magumu

Mbona hampendi kuambiwa ukweli mkuu. Mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kuwinda vipesa vyako. Hili nimeli experience na wala sijahadithiwa.

Mimi nina mwanamke ananipenda haniombi hela , sanasana akisikia nina shida anasema nahitaji kiasi gani anipatie. Sina tabia ya kumuomba kitu lakini hapendi kuona ninapitia changamoto yoyote. Mimi nina kipato changu na yeye ana kipato chake pia. Wote ni singles, hakuna aliyeoa au kuolewa
Umeelewa comment yangu?
 
Anakupenda Kwa dhati huyo,,mzingatie!
 
Nigharamie kwa utamu gani. Kumer zenyewe ndo hizi hizi zinazonuka shombo ya samaki au mna kumer zingine ambazo hatuzijui?
Achilia mbali shombo ya samaki ambayo inatibika kirahisi, mikumer ya kuhuddumia ndo hii hii iliyotombw. na wanaume 50+ wenye mi delilobo saizi tofauti tofauti, mikumer imelegea na kutanuka kama mahandaki, haina ladha kabisa, hiyo hata bure siichakati halafu ndo nilipe hela tena!!!

Lakini ukipata mtoto ambaye hajaliwa sana, huo mnato wake utajuta kuchelewa kumfahamu, yaani mtoto mtamu balaa, unatamani umhonge dunia yote.
 
Angalia ndug ndug zako na wazazi wako hao ndiyo wa muhimu wanawake ukisema unataka kumridhisha kwa kumpa pesa bado anaweza kukusumbua TU,.Mwanamke atakupenda kwa sababu ya pesa ukiwa huna pesa huna maana .Wapende wazazi wako hata Kwa hicho kidogo utabarikiwa.
 
Dah basi kumbe ndio maana sie wenye vibamia na dakika mbili chali tunapigwa vibomu. Haya wacha nikajifunze kugegeda
🤣🤣🤣Uzuri hujawahi kuwa na action,maneno mengiii vitendo zero
 
We ni tajiri sababu uaongea pumba
Mapenzi yanatesa maskini na matajiri asikudanganye mtu

Tofauti ni kwamba mwenye hela anauhakika wa kupata sex na sio mapenzi
lakin wote kwa nyakati tofauti mapenzi yanawatesa
Hahaahaaa!Yaani Bakharesa ateswe na Mapenzi!Haupo serious wewe.
 
Back
Top Bottom