Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

Hajataja jina sasa ni baba mkwe yupi anayelalamika?
 
Jaman kuishi TANZANIA ni bahati KUBWA mno hata kama huna pesa ila fraha iko pale pale[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Aiseee tumshukuru Mungu kwa hilo kwa kweli,yaani mtu unajikuta huna hela,huna maisha yoyote ya maana lakini unanenepeana tu,nchi hii nzuri sana
 
Hujaona wala kusikia ndoa zenye miaka zaidi ya 15 zikavunjika?
 
Heheehehe ebhana hii inachekesha na kuhuzunisha at the same time..

Baba mkwe nae anaharibu vipi ndoa ya mwanae.. halafu jamaa nae ni kichwa ngumu sana..

Lakini kama mke wake ndio kaenda police kushitaki basi hapo kuna ulazima wa kusikiliza pande zote mbili.
 
Yaani wachuchu walivyo wengi hivi bado mtu anahangaika kupoteza hela na muda kuweka bango kubwa hivyo...

Mchuchu mmoja akizingua, unatafuta mchuchu mkali zaidi yake halafu unamuweka status bango kubwaaaa...
Yaani ndio keshajiharibia. Nani atathubutu kuingia mahusiano na mwanamume hana kifua cha kuhandle issues kiutu uzima
 
Huyo alishtakiwa atakaa ndani soma sheria ya makosa ya mtandao
Nimekuomba na kifungu ndugu yangu kinacho establish hilo kosa. Naomba Kifungu kinacho sema alichokifanya kijana ni Jinai chini ya Cyber Crime Act.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…