Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache.
Katika kutafuta relief ameprint ujumbe wake na kuuweka kwenye bajaj, mke kaenda kutoa report polisi. Dogo kaitwa, katoka hapo kapost status, huyu anahi
Hajataja jina sasa ni baba mkwe yupi anayelalamika?
 
Jaman kuishi TANZANIA ni bahati KUBWA mno hata kama huna pesa ila fraha iko pale pale[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Aiseee tumshukuru Mungu kwa hilo kwa kweli,yaani mtu unajikuta huna hela,huna maisha yoyote ya maana lakini unanenepeana tu,nchi hii nzuri sana
 
Ani ekiselenti kwesheni [emoji16]

Familia labda. Kwa vile ndo jamii inataka. Watoto wa kukutunza ukizeeka. Mbususu ya uhakika...na mengineyo mengi [emoji16]

Ila kwa sasa inabidi ujipange hasa...kwa kizazi hiki ningekuwa mimi ningepiga marufuku vijana under 25 kuoana!
Hujaona wala kusikia ndoa zenye miaka zaidi ya 15 zikavunjika?
 
Heheehehe ebhana hii inachekesha na kuhuzunisha at the same time..

Baba mkwe nae anaharibu vipi ndoa ya mwanae.. halafu jamaa nae ni kichwa ngumu sana..

Lakini kama mke wake ndio kaenda police kushitaki basi hapo kuna ulazima wa kusikiliza pande zote mbili.
 
Yaani wachuchu walivyo wengi hivi bado mtu anahangaika kupoteza hela na muda kuweka bango kubwa hivyo...

Mchuchu mmoja akizingua, unatafuta mchuchu mkali zaidi yake halafu unamuweka status bango kubwaaaa...
Yaani ndio keshajiharibia. Nani atathubutu kuingia mahusiano na mwanamume hana kifua cha kuhandle issues kiutu uzima
 
Huyo alishtakiwa atakaa ndani soma sheria ya makosa ya mtandao
Nimekuomba na kifungu ndugu yangu kinacho establish hilo kosa. Naomba Kifungu kinacho sema alichokifanya kijana ni Jinai chini ya Cyber Crime Act.
 
Back
Top Bottom