Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898

Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa.

Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe"

Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa majumba na magari lakini wenzangu na mie wanaambulia chips kuku na soda.
 
Hii ni Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.. Tofauti kabisa na shokshok ambayo ladha yake ni nyama tupu[emoji39]
 
Natamani huo hela ingeenda mahali ikainue walio kata tamaa na kuvunjika moyo kutokana na changamoto za maisha kwa ujumla.
Hio ingeweza kuonyesha thamani ya huyo anayempenda maana kuanzia huyo aliependa na ailependwa na watakao tokana nao wangepata faida ya kudumu kuliko hii.
 
Watanzania mnapenda kupangia matumizi hela za wenzenu waliozitafuta kwa jasho lao
 
Watanzania mnapenda kupangia matumizi hela za wenzenu waliozitafuta kwa jasho lao
Siku zote asiyekuwa na hela huwa anaona mwenye hela anavyotumia hela zake kama anazifuja hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…