Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

Ukimuangalia Zama unaona kabisa ana ka ujeuri,mi nahisi kuna vita vya kumgombania huyo jamaa na Zama anadhani siraha yake ni pesa.
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Nguvu nyingi akili kisoda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…