N nyongolwe JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 2,785 Reaction score 3,600 Feb 19, 2022 #41 Ukimuangalia Zama unaona kabisa ana ka ujeuri,mi nahisi kuna vita vya kumgombania huyo jamaa na Zama anadhani siraha yake ni pesa.
Ukimuangalia Zama unaona kabisa ana ka ujeuri,mi nahisi kuna vita vya kumgombania huyo jamaa na Zama anadhani siraha yake ni pesa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 19, 2022 #42 Mambo yao waachie wenyewe... Nguvu nyingi akili kisoda...