DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ngoja niangali mkuu[emoji4]Mkuu nime kutumia PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niangali mkuu[emoji4]Mkuu nime kutumia PM
Mimi niligundua alinisave "Muuza Mayai" dah nilichoka, eti mwenyewe anadai alisahau kubadilisha maana siku ya kwanza namuomba namba pale stand alipita dogo muuza mayai ya kuchemsha nikamnunulia... [emoji18][emoji18][emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliseviwa dekio
Pesa za uchawi uwa hazitumiki kwy kusaidia watu, zaidi ya kufanya vitu ambavyo ni tofauti na mategemeo ya watu wenye shida. Kama Una ndugu ana pesa nyingi za kichawi chawi hawezi msaidia MTU kumtoa ktk matatizo. Na watu wengi sana, wana pesa za kichawi chawi na ndio Maana imekuwa, changamoto kuisaidia jamiii. Na hata viongozi wetu weusi, wengi wamepata uongozi kichawi chawi na Ndio maana wanashindwa kuwasaidia watu. Iyo ichukue kama [emoji769] Theory [emoji769]Natamani huo hela ingeenda mahali ikainue walio kata tamaa na kuvunjika moyo kutokana na changamoto za maisha kwa ujumla.
Hio ingeweza kuonyesha thamani ya huyo anayempenda maana kuanzia huyo aliependa na ailependwa na watakao tokana nao wangepata faida ya kudumu kuliko hii.
Love is just brain illusion. Majumba, mabango, magari ni upepo tu. Ukiona kwa jicho la tatu utaona love haiitaji vyote hivyo.
Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa.
Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe"
Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa majumba na magari lakini wenzangu na mie wanaambulia chips kuku na soda.
Asante bro nimeichukua!Pesa za uchawi uwa hazitumiki kwy kusaidia watu, zaidi ya kufanya vitu ambavyo ni tofauti na mategemeo ya watu wenye shida. Kama Una ndugu ana pesa nyingi za kichawi chawi hawezi msaidia MTU kumtoa ktk matatizo. Iyo ichukue kama [emoji769] Theory [emoji769]
Hapana hatupangiani, ndio maana tunasema we wishWatanzania mnapenda kupangia matumizi hela za wenzenu waliozitafuta kwa jasho lao
Utashangaa ukijua ukweli wa mambo. Hujui yawezekana hao wanaowekana kwenye mabango nyuma ya pazia wanapitia yapi. Ukiishi kwa kuangalia maisha ya kwenye mitandao na celebrities utakufa siku sio zako. Hata huku mitaani kuna watu wanafake sana kupendana ili tuu waonekane wanapendana lakini nyuma ya pazia kama ni ndoa zilishasambaratika kitambo
Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa.
Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe"
Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa majumba na magari lakini wenzangu na mie wanaambulia chips kuku na soda.
Akili kizibo hawezi jua nn namaanisha.Maneno ya kujifariji.
Apeleke za kwakeWatanzania mnapenda kupangia matumizi hela za wenzenu waliozitafuta kwa jasho lao
Haya
,au mtu katoka machimboni almanusura aangukiwe na kifusi unamkuta baa ameweka kreti ya bia mezan unaanza kujisemesha "hivi bei ya kreti si bora angenunua unga akapeleka nyumban kwake"Siku zote asiyekuwa na hela huwa anaona mwenye hela anavyotumia hela zake kama anazifuja hivi
Kuna siri kubwa sana katika upendo au chuki;