Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Wanasema nature ndo iko ivo.Unatoka out na Mwanamke, mnatumia laki +,
Yeye muda huo ktk pochi hana hata hela ya bodaboda anakutegemea ww umlipie kila kitu mpka hiyo nauli ya alfu 5.
Then ndio kinara kuagiza vitu expensive ktk mtoko, atakula kama kiwavi jeshi.
Hana akili ya ziada yeye anawaza hapo tu kwenye kula na kurekodi chakula kama taahira.
Majinga sana ndio maana nimejiwekea principle zangu, Mwanamke ambae ni maskini + Mbinafsi kwangu hapana.
Utandawazi, mbona Mabibi zetu hawakuwa hivi? Walifight kuilisha familia muda huo Mababu zetu wakilewa pombe vilabuni?Wanasema nature ndo iko ivo.
Buku 3 na maji unapelekewa bafuni kwa adabu.🙂....na maongezi mengine yapo...kupikiwa......kulala n.k.Bei shngap?
unakuta kijana anaishi kwenye nyumba za kupanga hana kipato cha uhakika ana angaika na pisi. ambazo zinahitaji matunzoUmeongea ukweli, nilichelewa kujua hili jambo limenikosti sana. Vijana wadogo mnaojitafuta acheni kusaka K, tunza pesa yako. UPWIRU ukizidi piga puli
Okay kwahiyo mnaona ni sawa bibi zetu walivyokuwa wanahangaika wenyewe huku babu zetu wakilewa pombe vilabuni, hayo ndio maisha mnayoyataka na mnaona ndio sawa kiasi cha kutolea hiyo mifano siyo, nakubaliana na wanaosema wanaume wa kiafrika ni mizigoUtandawazi, mbona Mabibi zetu hawakuwa hivi? Walifight kuilisha familia muda huo Mababu zetu wakilewa pombe vilabuni?
Hiki kizazi cha Snapchat hakuna anayejielewa.
First assessment ya Mwanamke anayejitambua mpime ktk mitoko (Akikuomba nauli ujue ni debe tupu hilo).
Mi najuta sometimes. Unakua ATM.Wengi tunatamani mahusiano tukiamini itakuwa njia pekee ya kutuliza nafsi pamoja na uchumi.
Mambo yamekuwa ni kinyume, na imekuwa ni karaha; kama huwezi kuhudumia kwa kutoa pesa, hapo migogoro lazima iwepo.
Wanaume wamefanywa chuma ulete au watumwa kwa kutumikishwa kuwatafutie hela au uhakika wa kula au wa kuishi kwa hawa warembo wetu.
Nashauri kwa kijana anayejipanga kimaisha, aachane na mapenzi kwa muda; kwa sababu mapenzi ni sehemu ya starehe, na starehe ni gharama.
Okay kwahiyo mnaona ni sawa bibi zetu walivyokuwa wanahangaika wenyewe huku babu zetu wakilewa pombe vilabuni, hayo ndio maisha mnayoyataka na mnaona ndio sawa kiasi cha kutolea hiyo mifano siyo, nakubaliana na wanaosema wanaume wa kiafrika ni mizigo
Yani mwanaume pamoja na jukumu hilo moja tu alilonalo la kutafuta pesa bado anaona kama anateseka, kiasi cha kutaka kumbebesha na mwanamke hilo jukumu, pamoja na kwamba mwanamke tayari ana majukumu yake ambayo hakuna anayemsaidia
Halafu hapo hapo bado mnasema mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa sawa, sasa huo utofauti uko wapi ikiwa mnalazimisha na wanawake nao wafanye majukumu yenu ilihali ninyi hamko tayari kufanya majukumu yao, yani kwenye mambo mengine hamko sawa ila kwenye majukumu tu ndio mko sawa tena mnalazimisha mwanamke afanye zaidi ya mwanaume
Kuna wakati huwa najiuliza hivi ukitoa hizo huduma za kiuchumi mwanaume ana kipi kingine cha kumpa mwanamke, jukumu kubwa la mwanaume kwa mwanamke wake ni lipi hasa kama inafikia hatua wanaume wanalalamika kutimiza majukumu yao umuhimu wao utakuwa kwenye nini kingine, na je vipi na wanawake nao wakianza kulalamika kutimiza majukumu yao tutafika
Kifupi nilichokuja kugundua ni kwamba wanaume wa kiafrika hawataki HAKI sawa ila wanataka MAJUKUMU sawa, tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi wao jukumu lao liwe kutafuta pesa zao wenyewe, kula, kulala na kutia mimba tu mengine yote mwanamke atajijua mwenyewe, na kwa fikira hizi nafikiri sasa ndipo ukweli utaanza kujiweka wazi kati ya mwanaume na mwanamke nani ni mbinafsi kuliko mwenzake
Sasa kama majukumu ya kutafuta pesa ni ya wote na majukumu ya kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, malezi ya watoto ni ya nani, ukitoa majukumu ambayo hamuwezi kuyafanya kwa sababu za kimaumbile kama kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha hayo mengine niliyoorodhesha awali mnashindwa nini kuyafanya, na kama mnaweza kwanini hamyafanyi mnalazimisha yawe ya mwanamke tuBila shaka ww ni Mwanamke.
Haya ngoja nianze kujibu hoja.
1_ Wanaume ambao nimetolea mfano kama MABABU zetu kulewa vilabuni na wakati huo wakina Mama ambao ni MABIBI zetu walihudumia vizuri familia nililenga ktk kuweka sawa hoja ya UTEGEMEZI wa Mwanamke kwa Mwanaume na ni jinsi gani KIZAZI cha sasa hawawezi jisimamia wenyewe endapo MWANAUME ukiwa haupo sawa (Kiakili/Kimwili). Jukumu la utafutaji ni la Wote na sio Mwanaume pekee. Leo mimi ni Mzima kesho naumwa nipo kitandani nani ataketa mkate mezani?
2_Wewe kama Mwanamke nje ya Huduma ya Kingono unayonipa je kuna nini cha ziada nachopata kutoka kwako?
Wanawake wengi hawana cha ziada / Faida zaidi ya kutoa tendo tu. Mtu hana hata AKILI ya kukushauri kitu zaidi ya kuwaza leo twende kule kesho twende huku.
3_Hoja ya kukimbia Majikumu sio kweli,
Nijiongelee mimi BINAFSI napenda sana Majukumu hasa majukumu yenye tija, nipigie simu niombe hela ya kuongezea mtaji, nipigie simu nambie ndani hakuna hichi.. unaonaje tukaongeza au kuweka sawa hilo jambo.. nipigie simu niambie haupo sawa unahitaji kwenda hospital, na sio unaipigie simu uanze kuniambia habari ya simu sijui imefanya nini.. au wigi limepauka, vitu vidogo vidogo kama hivyo vinavyokuhusu wewe moja kwa moja vimalize mwenyewe. Ni kujishushia heshima kumuomba mwanaume wako hela ya kusuka..
Mwisho kabisa nasisitiza MWANAMKE hasa wa siku hizi HANA Faida kwa MWANUME zaidi ya HASARA.
Mimi binafsi nafanya hayo yote, napika, nafua, nasafisha nyumba etc pia sioi Mwanamke aje kufanya hayo kama ndio PRIMARY TASK hapana. Ila kwa nature na ASILI hayo yanatakiwa kufanywa na MWANAMKE. ndio kaumbiwa kufanya hayo.Sasa kama majukumu ya kutafuta pesa ni ya wote na majukumu ya kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, malezi ya watoto ni ya nani, ukitoa majukumu ambayo hamuwezi kuyafanya kwa sababu za kimaumbile kama kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha hayo mengine niliyoorodhesha awali mnashindwa nini kuyafanya, na kama mnaweza kwanini hamyafanyi mnalazimisha yawe ya mwanamke tu
Mwanaume ana offer vitu vingiHiyo kauli ya kwamba ukitoa sex mwanamke hana kingine cha kuoffer kwa mwanaume imeshaongelewa sana, sasa tunataka kusikia na upande mwingine je ukitoa pesa mwanaume ana kipi kingine cha kuoffer kwa mwanamke, tena afadhali ya mwanamke ana kazi za nyumbani, anazaa, analea watoto ambao mwisho wa siku bado unataka akusaidie pia kuwasomesha aloo
Wanaune wanatembea na housegirl kutokana na MAMA mwenye nyumba kutokuwa makini na NDOA yake.Usiniambie eti hizo kazi za nyumbani hata housegirl anaweza kufanya wakati housegirl naye ni mwanamke, na ndio hao mwisho wa siku mnaishia kutembea nao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa, kitu ambacho kinaonesha kwa mwanaume bado mwanamke ana umuhimu haijalishi ni mwanamke wa aina gani
Si kweli.. Sex inamtesa yule asihejitambua ni nani? Na kama sex ikikuendesha hutoweza kufanya maamuzi magumu kama Mwanaume.Halafu unaponiambia eti ukitoa sex mwanamke hana kingine cha kuoffer pia nakushangaa, kwa sababu sex kwa mwanaume ndio kila kitu yani kwa wanaume sex ni kama msosi wote tunajua mwanaume akikosa sex anakuwaje, so mlitakiwa hata hiyo sex wanayowapa tu muiappreciate maana ni kitu kikubwa sana kwa mwanaume
Kama watu wanafungwa JELA Miaka 40 na hawafi.. na huko jela hakuna MWANAMKE na bado wanaishi duniani hakuna cha kunitisha hata mkiambizana mbanie hizo K.Siku wanawake wote wakisema waache kutoa hiyo sex hapatakalika na ningekuelewa kama wanaume wangekuwa na mbadala wa hiyo sex lakini hakuna, ni sawa na kusema ukitoa mvua mawingu hayana kingine cha kuoffer wakati hiyo mvua tu yenyewe ndio kila kitu kwa viumbe hai, siku zikiacha kabisa kunyesha wote tunajua kitakachotokea
Haya mambo ya kuendekeza starehe na wanawake yanayumbisha maisha sana. Kuna shemeji yangu kipindi hicho ana hela alikuwa anazitumia kwa kuhonga na starehe na wanawake, sasa hivi kawa kama chizi anavaa mijeje tu utadhani nguo saizi yake haziuzwi madukani.Umeongea ukweli, nilichelewa kujua hili jambo limenikosti sana. Vijana wadogo mnaojitafuta acheni kusaka K, tunza pesa yako. UPWIRU ukizidi piga puli
Unatoka out na Mwanamke, mnatumia laki +,
Yeye muda huo ktk pochi hana hata hela ya bodaboda anakutegemea ww umlipie kila kitu mpka hiyo nauli ya alfu 5.
Then ndio kinara kuagiza vitu expensive ktk mtoko, atakula kama kiwavi jeshi.
Hana akili ya ziada yeye anawaza hapo tu kwenye kula na kurekodi chakula kama taahira.
Majinga sana ndio maana nimejiwekea principle zangu, Mwanamke ambae ni maskini + Mbinafsi kwangu hapana.
Haya mambo ya kuendekeza starehe na wanawake yanayumbisha maisha sana. Kuna shemeji yangu kipindi hicho ana hela alikuwa anazitumia kwa kuhonga na starehe na wanawake, sasa hivi kawa kama chizi anavaa mijeje tu utadhani nguo saizi yake haziuzwi madukani.
Mwingine amezikwa leo kaacha watoto wa 4 kwenye vyumba 2 vya kupanga. Kapata ajali ya pikipiki akiwa amelewa . Walikufa haphapo pamoja na mchepuko wake. Yule dada kaachwa na watoto ili hali kazi hana. Mtoto mmoja hata mwaka hana.
Dah uyo uncle wako lazima ajute maana hela ya kuhonga ni kama umetupa.Haya mambo ya kuendekeza starehe na wanawake yanayumbisha maisha sana. Kuna shemeji yangu kipindi hicho ana hela alikuwa anazitumia kwa kuhonga na starehe na wanawake, sasa hivi kawa kama chizi anavaa mijeje tu utadhani nguo saizi yake haziuzwi madukani.
Mwingine amezikwa leo kaacha watoto wa 4 kwenye vyumba 2 vya kupanga. Kapata ajali ya pikipiki akiwa amelewa . Walikufa haphapo pamoja na mchepuko wake. Yule dada kaachwa na watoto ili hali kazi hana. Mtoto mmoja hata mwaka hana.
Sasa hivi yuko kama chiziDah uyo uncle wako lazima ajute maana hela ya kuhonga ni kama umetupa.
Huna unachojua we mwanamke kuosha vyombo na kupika ni kaziOkay kwahiyo mnaona ni sawa bibi zetu walivyokuwa wanahangaika wenyewe huku babu zetu wakilewa pombe vilabuni, hayo ndio maisha mnayoyataka na mnaona ndio sawa kiasi cha kutolea hiyo mifano siyo, nakubaliana na wanaosema wanaume wa kiafrika ni mizigo
Yani mwanaume pamoja na jukumu hilo moja tu alilonalo la kutafuta pesa bado anaona kama anateseka, kiasi cha kutaka kumbebesha na mwanamke hilo jukumu, pamoja na kwamba mwanamke tayari ana majukumu yake ambayo hakuna anayemsaidia
Halafu hapo hapo bado mnasema mwanaume na mwanamke hawawezi kuwa sawa, sasa huo utofauti uko wapi ikiwa mnalazimisha na wanawake nao wafanye majukumu yenu ilihali ninyi hamko tayari kufanya majukumu yao, yani kwenye mambo mengine hamko sawa ila kwenye majukumu tu ndio mko sawa tena mnalazimisha mwanamke afanye zaidi ya mwanaume
Kuna wakati huwa najiuliza hivi ukitoa hizo huduma za kiuchumi mwanaume ana kipi kingine cha kumpa mwanamke, jukumu kubwa la mwanaume kwa mwanamke wake ni lipi hasa kama inafikia hatua wanaume wanalalamika kutimiza majukumu yao umuhimu wao utakuwa kwenye nini kingine, na je vipi na wanawake nao wakianza kulalamika kutimiza majukumu yao tutafika
Kifupi nilichokuja kugundua ni kwamba wanaume wa kiafrika hawataki HAKI sawa ila wanataka MAJUKUMU sawa, tena ikibidi mwanamke ndio afanye zaidi wao jukumu lao liwe kutafuta pesa zao wenyewe, kula, kulala na kutia mimba tu mengine yote mwanamke atajijua mwenyewe, na kwa fikira hizi nafikiri sasa ndipo ukweli utaanza kujiweka wazi kati ya mwanaume na mwanamke nani ni mbinafsi kuliko mwenzake
Mimi binafsi nafanya hayo yote, napika, nafua, nasafisha nyumba etc pia sioi Mwanamke aje kufanya hayo kama ndio PRIMARY TASK hapana. Ila kwa nature na ASILI hayo yanatakiwa kufanywa na MWANAMKE. ndio kaumbiwa kufanya hayo.
Mwanaume ana offer vitu vingi
1_ Ulinzi
2_Ushauri uliosahihi (Mara nyingi, huwezi fananisha na ushauri wa Mwanamke)
3_MKATE Mezani
4_Ujenzi wa familia Bora. (Angalia malezi ya Single Mama ndio utanielewa).
Wanaune wanatembea na housegirl kutokana na MAMA mwenye nyumba kutokuwa makini na NDOA yake.
1_ Chakula apike housegirl
2_Nguo anyooshe yeye
3_Maji aniwekee bafuni
4_Chakula anipakulie
5_Nikirudi Mizigo yeye ndio anapokea
6_Kodi ya Meza namuachia yeye
7_Kitanda na usafi wa chumbani anasafisha yeye..
Sasa hapo MKE ni yupi? Anafanya kazi gani? Housegirl anafanya majukumu ya MKE ndio maana hicho kipande kidogo cha SEX anaamua kukimalizia kukifanya mwenyewe.
Si kweli.. Sex inamtesa yule asihejitambua ni nani? Na kama sex ikikuendesha hutoweza kufanya maamuzi magumu kama Mwanaume.
pia tusidanganyanye kwamba hakuna njia ya kujinufaisha nafsi.. si kweli.
Kama watu wanafungwa JELA Miaka 40 na hawafi.. na huko jela hakuna MWANAMKE na bado wanaishi duniani hakuna cha kunitisha hata mkiambizana mbanie hizo K.
Ndo mana waarabu wake zao hawafanyi kaziKama siyo kazi mbona hamtaki kuzifanya sasa, tena hakuna kazi ambayo wanaume wengi wanaichukia kama kuosha vyombo, sasa kama siyo kazi kwanini mnaichukia si muwe mnafanya mara kwa mara
Wewe "utapunguza"?🤔Umeongea suala la msingi sana mkuu👏👏