financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Pole mkuuHaya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nipo kwenye penzi zito mno yaani mpaka naona nateseka mwenzenu
Ulicheka sana that day! Yamekukuta na wewe tena angedunda kabisa akiwa anakuacha๐๐Asalalee umekuja wewe!! Najua unakisasi kabisa! Chamee bure sikukucheka makusudi..
Onesha uanaume bana acha kulialia mwamba!Yaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Yaani sikufariji hata kidogo tena umekomeshwaa๐Yaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Jikaze!๐๐Haya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
Unataka kufanyaje na huo ushirikina wako? Wewee utashirikiniwa wewe shauri yako! Umekoma KENZY ๐๐โโ๏ธNishaanza kuwa na fikra za kishirikina sijui itakuwaje..๐
Haya mwenye uzi wake kaja๐๐๐Fanya yotee ila angalia USIOE KABISAAA..!!!
#YNWA
Ila pole๐๐๐๐Tajitahidi..
Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaa๐คUlitaka ninywe sumu ndo ufurahi..?