financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Umeshapewa kibuti safi sana! Kumbe hadi wewe unaumiaga ukiachwa😂 pole lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuuHaya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nipo kwenye penzi zito mno yaani mpaka naona nateseka mwenzenu
Ulicheka sana that day! Yamekukuta na wewe tena angedunda kabisa akiwa anakuacha😀😀Asalalee umekuja wewe!! Najua unakisasi kabisa! Chamee bure sikukucheka makusudi..
Onesha uanaume bana acha kulialia mwamba!Yaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Yaani sikufariji hata kidogo tena umekomeshwaa😂Yaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Jikaze!😂😂Haya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
Unataka kufanyaje na huo ushirikina wako? Wewee utashirikiniwa wewe shauri yako! Umekoma KENZY 😜🏃♀️Nishaanza kuwa na fikra za kishirikina sijui itakuwaje..😅
Haya mwenye uzi wake kaja😂😂😂Fanya yotee ila angalia USIOE KABISAAA..!!!
#YNWA
Ila pole😝😝😝😝Tajitahidi..
Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaa🤔Ulitaka ninywe sumu ndo ufurahi..?