Mapenzi hayana baunsa

Na wewe unawacheka tu kama kawaida yako
 
Heri mnaonipa pole.. ahsante mkuu utaiona pepo mkuu.
Hichi kipindi huwa ni mpito kujifunza aheri ikukute kabla ya ndoa kuliko kuwa ndoani wallah, na hata wanaokudhihaki Iko siku itawakuta.
N. B usiumize wasio na hatia kisa wewe ulitendwa time heals everything
 
Ahsante Sana mkuu..😥
 
Ukisikia milio ya ajabu kama hii, jua kunamtu kashachezea za uso. Mwanangu ulikua na koloni moja tu? Afu utackia et MICHEPUKO CYO DILI BAKI NJIA KUU.
 
Mshaachana eeh?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sanaaa mkuu naww tafuta mnyonge umuumize chain iendelee
 
Bora useme watu wakupe ushauri maana kwa hali hiyo unatuacha hewani. Ila pole japo hatujajua kipi kimekupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…