Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Eeenh mimi tenaHuu ndo muda wa kuonyesha upendo wako achana na maswala ya ujanja kichwa cha uzi kimemaliza kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh mimi tenaHuu ndo muda wa kuonyesha upendo wako achana na maswala ya ujanja kichwa cha uzi kimemaliza kabisa.
Na wewe unawacheka tu kama kawaida yakoNikawaambiaga zamani..jamaan wanaume wengi mnakosea mnapoanza kumuapproach mwanamke , nikatumia muda wangu mwingi kuwapa hili Dude
[emoji116]
Jinsi ya kuvuta mwanamke bila shilingi...lengo haikua kuonyesha umasikin au ubahili, lengo ilikua ni namna ya jinsi gan ujipenyeze kichwan mwanamke na akupende bila hata kumuonyeshea una Pesaa ....wakaniambia...Dogoo tafuta helaaaaa helaaaaa helaaaaaa
Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi
Ivi umeshawah kutana na Jidada mmoja mwenye uchumi wake kukuzidi yaan wee unajiweza lkn yeye kakuzidi na umemuelewa kinoma yaan?? Au tu ni Mke wa mtu sema umemuelewa ?? Sasa leo nawapa siri nyingine ya hawa viumbe , hii siri Ukijua kuiexercise itakupa Mwanamke yoyote unayemuhitaji in a really...www.jamiiforums.com
Baada ya kumpata, nikawaletea Desa lingine, jinsi gani umfanye aamini yeye ndio furaha yako yaan maisha yake ya kihisia yanakutegemea weweeee ,nahapo hawezi kukuzengua ......wakasema dogooooooo helaaa helaaa helaaa [emoji116]Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake
Baadae nikawambia, Mazeee Unaweza kuombwa hela na demu wako, ukawa huna kwa wakat huo, Usiwaze, usikimbilie kukopaa hela nakujipa madeni, pesa haijawah mtosha mwanamke, hivo fanya ivi.. [emoji116]
Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?
Nikajua hapo Demu atanuna ila ndo hawezi kukuacha kisa hiko, nikawafundisha jinsi ya kumkojoza demu kitandani...wakasema dogoooo dogoooooo tafuta helaaa helaaa helaaaaa[emoji116]
Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725] Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu, Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi ya dakika 30+, jinsi gan ya kufanya uume uwe ngangari Unaposimama, jinsi gan uwe na uwezo wa kurudia...www.jamiiforums.com
Juzi nikawambia, jamaan eeehh furaha ya mwanamke inakutegemea weweeee,, mwanamke hata aweje awe mzur vipi, na elimu kubwaa, mali napesaa kukuzidi, jamaaaan eeehyy waliumbwa kwaajili yetu hawaaaaaa ,sisi ndo MaTOP wao ,..wakasemaaa dogoooooooo huwajui wanawake [emoji116][emoji116]
Furaha ya Mwanamke inakutegemea wewe Mwanaume!
Unaweza ukashangaa hili, ila uhalisia nikwamba Ili Mwanamke Akupende kwa dhati Daima ni lazima huko mwanzo uhakikishe kwamba Ulimpitisha kwenye Mateso ya Kihisia. Mtu anaweza niuliza, kwahiyo mwanamke havutiwi na wanaume wanaompa Starehe na mitoko ya kila aina ? Lkn , Ukielewa jinsi "Ubongo wa...www.jamiiforums.com
Kumbuka ,hapo katikati nkawa nawaambia, wasifieni wake zenu /wapenzi wenu....wakaniambiaaa tufanye hayo yote kisaaaaaaa nn[emoji116][emoji116]
Wasifieni Wanawake zenu...
Chini ya Jua hamna mwanamke Anayejiamin iwe katika Uzuri wake wa sura na umbo, Upishi, Mavazi, ufanyi kazi wake uko kazin, majukum ya nyumban n.k .. Kwa haraka Ukimchukulia mwanamke kama kiumbe anayebeba Nyumba nzima, ni wazi kua nayeye hana hakika kama kila jambo kalifanya 100% inavyotakiwa...www.jamiiforums.com
Lkn hawajui, wanawake huponzwa kwa MASIKIO YAO[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanaliaaa, wanaliaaaaaaa wanaliaaaaaa jamaaani yaaaan wanaliaaa, kukicha humu utasikia .nmetombewaaaa, kaniachaaaa, wanawake wamerogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hichi kipindi huwa ni mpito kujifunza aheri ikukute kabla ya ndoa kuliko kuwa ndoani wallah, na hata wanaokudhihaki Iko siku itawakuta.Heri mnaonipa pole.. ahsante mkuu utaiona pepo mkuu.
Leo kwangu kesho kwako.
Still niitwe nungunungu nawe uniite pepo mchafu!![emoji24]