Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

unahitaji kufundishwa hili, seriously!
Ntarudiiii....

Tunakusubiri mwaaaaaaaaaalimuuuuuuuu!!

teacher.jpg
 
Acha ujinga mwanamke akiangaliwa tu na mwanaume ushamtongoza unatakiwa kumfuatilia pia ukijisogeza au kumuweka karibu ushamaliza mila mitu,jitahidi dogo nyeto itakuua ukilala.
 
Kama unawaogopa ujue bado ujawa tayari kuwa na mwanamke, wengi walikuwa waoga ila walipokua kiakili na kifikra tena wakawa tayari kuoa waliweza wenyewe, kama vipi kula ugali sana ukue utaweza wewe bado kinda sana.
 
Sasa unataka ufundishwe kutongoza,kisha baadae utake mchango wa harusi, baada ya wiki mbili huyo uliyetongozewa anaenda kupigwa nje kisha uje tena kuomba ushauri, sasa wewe kazi yako kwa mwanamke itakuwa ni ipi ili kumpata? We endelea kufunga magoli ya mkono hadi utapopata ujasiri wakusimama mwenyewe.
 
Kama unalo gari unataka kufundishwa kutongoza!usipotezee watu muda. Ukimpa binti lift atajipanua mwenyewe kwenye gari hapo humwambii neno unaendelea romance.
 
Jitongoze mwenyew kwanza, ukikubali then ushafaulu, mfate dem sasa
 
We mchekee chekkeee tu, mchekeee UKISHINDWA basi mpe hela, yaani nakwambia mpe hela, mpeeeee mpeeee + mwambie ukweli
 
Back
Top Bottom