Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

Kwa karne hii? Mmmhh!

Hivivu nafikiri kwanini mtu kama diamond anaitwa sukari ya warembo currently?

Kwani huko nyuma kabla hajawa nyota, hiyo sukari yake iliku wapi?

Mi nadhani kwa usawa huu wa inflation katika economy, money is the guarantee of everything.. Halafu baadae ndio mengine yataangaliwa!!
 
Habarini wanajamvi,

Jamani naombeni msaada jinsi ya kumtongoza mwanamke maana nimefika umri ambao ninahitaji mwenza wangu wa kuwa nami ila tatizo ninaogopa sana wacchana na cna hata confidence ya kuwaface na kuwaambia yangu ya moyoni, so naombeni msaada, tusichekane jamani, nimeweka shida yangu hii kwa kuamini kuwa nitasaidiwa.
 
Uktaka umpate msichana wa mjin we mpe hela tu,na wa kijijin msaidie kuchota maj kisiman! #okbye
 
Mi nikajua nipo peke yangu kumbe ni tatizo la vijana wengi aiseee hl ni tatizo la kitelejensia zaid loh ngoja ninawe kwanza ndo nije.
 
Back
Top Bottom