TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Mwanaume anapokuwa anapenda kutongozwa hata kama na wadada huwa inatia mashaka sana!Mi natafuta mwanamke anitongoze. Mwaka huu sijatongozwa na mdada yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume anapokuwa anapenda kutongozwa hata kama na wadada huwa inatia mashaka sana!Mi natafuta mwanamke anitongoze. Mwaka huu sijatongozwa na mdada yeyote
Mkuu usijidanganye,wakati mwingine pesa huwa haina maana!
Teh teh teh!kijijini wanaweza kukukimbia wakihofia wewe umekwenda kuwaambukiza ukimwi!Hayo yalikuwa zamani sana !!! leo hiii nakuhakikishia bila hata kusema neno moja wewe kata tu ndululu, na baadaye sema nikute hotel fulani saa fulani atakuja na yuko tayari na wala haulizi kulikoni!! Peaa bwana mapenzi yalikuwa zamani!!
Teh teh teh!mapenzi yanachukua sehemu kubwa sana ya maisha ya binadamu,labda mtu awe na matatizo ya kisaikologia kama wewe!Kila siku utakuwa unaongea hayo hayo tu huna cha kufanya muda wote ni mapenz tu
Mkuu usijidanganye,wakati mwingine pesa huwa haina maana!
Utafiti nitafanya mkuu,lakini hizi ndiyo habari za awali!Bongo hpa au Fanya utafiti mkuu
Mkuu nipo Bongo,lakini siamini hayo unayoyasema,ingawa nitayafanyia utafiti!Mkuu uko: pande ipi hiyo sio bongo
Jamaa yako bado hajaiva!amezubaa zubaa sana!
Teh teh teh!!!
Yaani hapa tumeshapewa silaha za maangamizi,kazi iliyobaki ni kuzitumia tu!
Mi natafuta mwanamke anitongoze.....mwaka huu sijatongozwa na mdada yeyote
umejuaje mwanaHili ni darsa kwa sisi tusio na hela;mwanamme mwenye hela zake darsa hili halimhusu!
Ukiwa na hela Dar warembo wanakutongoza wao!
Duuu!nimetumia kila njia ya kumpenda mwanamke lakini hanielewi sijui tatizo langu nini, naombeni msaanda wenu niwe na sifa gani niweze kukubalika..?
Napatikana Jf lol!Samahani kaka,sijui nakufananisha!! Unapatikana wapi vile!
Teh teh teh!Hii njia inaweza isilete mafanikio baadhi ya maeneo,kwa mfano wanawake wa kijijini kwetu wanaogopa sana wanaume wanaohonga fedha nyingi kwa huisi wana Ukimwi!