Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ilikuwa inasumbua sana kwa kusema ukweli!
ni kweli mkuu hapa mzizi mkavu amemaliza kila kitu!
Kwa 100%Kumbe mkuu unahusika eeh!
Yaani natarajia kuanza mazoezi immediately!bac kuanzia sasa anza kuchukua mazoezi ukikumbana nae neno moja tu lazima akae chini
Tumia njia hizo zilizoainishwa na MziziMkavu!Duuu!nimetumia kila njia ya kumpenda mwanamke lakini hanielewi sijui tatizo langu nini, naombeni msaanda wenu niwe na sifa gani niweze kukubalika..?
Kwa 100%
Teh teh teh!!!:llama:
Yaani we acha tu,nimesha 'copy' na ku 'paste'Aisee.. sasa print kabisa hizo technique za mziziMkavu, hawatakatiza tena
Duh!kweli umeiva,yaani unajua sana kutongoza!
Jamaa yako bado hajaiva!amezubaa zubaa sana!Namsubiri baby anijibu jamani
Mkuu usijidanganye,wakati mwingine pesa huwa haina maana!Mkuu pesa kitu. Labda zamani sio uzao huu