TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Ni kweli mkuu,kuna watu fedha siyo ishu kwao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu,kuna watu fedha siyo ishu kwao!
Hongera sana mkuu kwa kusikilizia mautamu!Kutongozwa jmn kuna raha yake
Teh teh teh!mapenzi ya aina hii yalikuwa hayahitaji fedha kabisa!dah! Umenikumbusha mbali sana. Kusuburia akitoka kisimani au kuokota kuni
Mkuu wazungu wanasema nature is order,you can't go against nature!duuh! sasa mkuu hili somo siungetuita falagha wanaume wenzio tu na kutupa hili darasa!, Maana naona wanaweke wenyewe tayari wameshaanza kuipitia kabla hata sisi walengwa bad😵fu yangu watabadili mbinu ya kunaswa hawa.
Ingepatikana namna nyingine ya kuishi bila mapenzi ingekuwa mzuka sanaa.
Popote pale na kwa mwanamke yeyote njia hii inaweza kuleta ufanisi mkubwa sana!Swali unamtongoza mtu umekutana nae barabarani au unaefahamiana nae
Duh!hii kali ya mwaka!Siku hizi mwanamke hatongozwi, bali anakumbuswa kamchezo, na ukisubili utongoze itakula kwako.
Duh!kweli wewe ni Mwanafunzi makini!Haya mzee, wacha nimtafute mmoja niangalie kama nimeelewa somo
Mkuu hapa tumeshanolewa na kaka yetu MziziMkavu,ole wako uingie kwenye anga zetu!domo zegeeeeeeeeeee karibu ni sana
Mkuu fanya majaribio uone mafanikio ya njia hii!Hii ni kwako mtu mzizmkavu, maana wanawake wanatofautiana saana!
Yaani hapa tumeshapewa silaha za maangamizi,kazi iliyobaki ni kuzitumia tu!Kweli teknolojia inapanuka jamani,mambo yanazidi kua mepesi. Mmeshatafuniwa kazi kwenu kumeza
Huyu jamaa inaonekana halishahasilika kisaikologia kwa ajili ya kutendwa!nenda kaishi mars hutapata adha ya mapenzi lol
Just For love
What does it mean in context of this subject matter!Predicament
Mkuu ilikuwa inasumbua sana kwa kusema ukweli!lol! kwa hiyo siku zote hizi ulikuwa unang'atang'ata kucha tu
pole sana