Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
ushabadili avatar tayari...asee
Excel mwambie ani PM plissss, mie uwa natoa darasa face to face na baada ya hapo ni mtihani kwa vitendo....
Teh teh hakuna uswahili hapo
ni ushauri nasaha bila vipimo....
kaka hili deal, watoto wakiume hawajui haya mambo....aisee vijana wako mjini lakini naona hawana faida...
kuna haja ya kuanzisha remedial class kwa ajili ya hii assignment...!
kumbe dili hili mkuu!
miezi 6 utafiti mbona umeshatoka mbaya....Unaonaje ukaanzisha hiyo shule? Na kabanga kama atakusaidia, miezi sita mingi mkuu ushakua tajiri
kaka hili deal, watoto wakiume hawajui haya mambo....
miezi 6 utafiti mbona umeshatoka mbaya....
Pls hakikisha hao wanafunzi wajiandae vema kuna somo LA practical baada ya training vitendea kazi viwe original
aisee vijana wako mjini lakini naona hawana faida...
kuna haja ya kuanzisha remedial class kwa ajili ya hii assignment...!
kumbe dili hili mkuu!
Unaonaje ukaanzisha hiyo shule? Na kabanga kama atakusaidia, miezi sita mingi mkuu ushakua tajiri
Excel napokea hiyo kazi, tushirikiane tutatue hili tatizo....
haaa!!! we Excel hii mineno umeitoa wapi?
Anamanisha msichana maandishi ya siku hizi ni matatizo makubwaKwanza tuambie kwanini unataka ufundishwe kutongoza mchana na siyo usiku? Na unafikiri kutongoza mchana na usiku kuna tofauti?!.
Haa haa haa ujue hata moyo wangu nilikuwa bado sijauambia!!! huyu Excel huyu.