Habarini wanajamvi,
Jamani naombeni msaada jinsi ya kumtongoza mwanamke maana nimefika umri ambao ninahitaji mwenza wangu wa kuwa nami ila tatizo ninaogopa sana wacchana na cna hata confidence ya kuwaface na kuwaambia yangu ya moyoni, so naombeni msaada, tusichekane jamani, nimeweka shida yangu hii kwa kuamini kuwa nitasaidiwa.