Mapenzi matamu sana

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee.

Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano.

Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio vizuri . Ila Hawa wanajulia mamboo yaani ni Raha mustarehe halafu kitu kikafanywa kitaamu hurukiwi kama Simba ambaye yuko mawindoni.

Mapenzi ni Raha kama umepata mtu wako anayekujulia .

mzabzab nyie wazee mkiamua siye mnatukosha
 
42 sio mzee.

Ni kijana bado.

Na mara nyingi hawa wanakuwa tayari stable kwenye maisha yao.

Wengi wameoa, wamejenga, wana watoto mashuleni, kama wapo kwenye ajira wameshapanda vyeo.

Kipato kimeleweka. Ndo hao mnakuta mnawapenda.

Vijana mnawaona pasua kichwa kwasababu bado hawajawa stable kimaisha.
 
Hapana mnapiga sana shoo yakumzimisha mtu siyo yakukumbuka Kwa mazuri
 
Ukiona hivyo ujue kuna mtu anawindwa humu,,
haya wewe unayewindwa anza kufunguka huko kwenye pochi maramoja sio mpaka uanze kubembelezwa na nyuzi
Kipenzi sio wahumu humu hakunaga wote hawajiamini wapo tu but ngoja nisiwasemee
 
Hiyo miaka inategemea na mtu, kama akili za kiboyz plus ujana ushapita hapo sio siri ukikutana na mwenye 35+ mwanaume anayejielewa kama mimi you will enjoy the life not only kwenye bed but also the general life.

Yaani we are living the life to the fullest, no stress at all, no upumbavu, tuko smart. But for me niko below 30's.....
 
Kwenye maisha nimejifunza kuwa nadhifu kwenye kila area/category, simply i have learn kupangilia vitu.

Be fresh and Clean. Smelling bad sipendi, wears bad sipendi, living kwenye dirty environment sipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…