Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kisiumizwe ili kesho kilike na mwingineNaona unique unapenda KAZI KIDOGO MALIPO MAKUBWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisiumizwe ili kesho kilike na mwingineNaona unique unapenda KAZI KIDOGO MALIPO MAKUBWA
Wewe acha tabia mbayaNaona unique unapenda KAZI KIDOGO MALIPO MAKUBWA
Sijakusema komaa na chibabu wakoMtoto halali na hela Sina mwingine nimetulia tuli na chibaba wangu a k.a chibabu Sasa wewe na wenzao mnaoshughuli pevu kunisema humu
Umenisema asiyejua kiswahili naniSijakusema komaa na chibabu wako
Vile umesema vijana tunaburuza hadi unaumwaUmenisema asiyejua kiswahili nani
[emoji23][emoji23][emoji1787]Ameloa ameloa amenyeshewa na mvua[emoji108][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2489125
Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee .
Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini .
Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano.
Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio vizuri . Ila Hawa wanajulia mamboo yaani ni Raha mustarehe halafu kitu kikafanywa kitaamu hurukiwi kama Simba ambaye yuko mawindoni.
Mapenzi ni Raha kama umepata mtu wako anayekujulia .
mzabzab nyie wazee mkiamua siye mnatukosha
Ni hivi kijana ukiwa unatembea na watu wazima unapata kifungo. Yaani hutawapenda tena wale wa umri wako hata ukianzisha mahusiano hayawezi dumu na kuoa au kuolewa inakuwa ni hatiani. Ukibahatika ku oa/ kuolewa kuachana kunakuwa njenje. Vijana waacheni wazee wakutane na wa rika yao hali kadhalika wazee wawaache vijana waweze kupata wa rika laoHivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee .
Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini .
Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano.
Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio vizuri . Ila Hawa wanajulia mamboo yaani ni Raha mustarehe halafu kitu kikafanywa kitaamu hurukiwi kama Simba ambaye yuko mawindoni.
Mapenzi ni Raha kama umepata mtu wako anayekujulia .
mzabzab nyie wazee mkiamua siye mnatukosha
Hakuna kifungo bhana chibabu wangu Hana mke na mie mtu mzima kanipita miaka kadhaa tu kama Kumi sio mbaya yaani nimedata akija tu kuniambia ndoa naruka ruka ipo siku atasema maana home kwetu anakuja kumsalimia maza na kamwambia maza hajaoa siku hzii ananipa ufunguo za nyumba yake so sikilizia 🥂🤰👪🧑🍼Ni hivi kijana ukiwa unatembea na watu wazima unapata kifungo. Yaani hutawapenda tena wale wa umri wako hata ukianzisha mahusiano hayawezi dumu na kuoa au kuolewa inakuwa ni hatiani. Ukibahatika ku oa/ kuolewa kuachana kunakuwa njenje. Vijana waacheni wazee wakutane na wa rika yao hali kadhalika wazee wawaache vijana waweze kupata wa rika lao
Nimefunguliwa nyuzi na mtu simjui Sasa unaona mie Simtafuti mtu natafutwa niemewahiwaUkiona hivyo ujue kuna mtu anawindwa humu,,
haya wewe unayewindwa anza kufunguka huko kwenye pochi maramoja sio mpaka uanze kubembelezwa na nyuzi
33+ zeroo wewe 40+ ndio amen hapa town wamejipanga kimwili kiakili na wanajielewaaWanajielewa sana ukipata bahati kuanzia 33+ ni wanaume hasa hawana utoto mm natamni hta mumewang awe kwenye age hiyo anipite miak kuanzia 7 na had 10 🤦🤦
Aisee 40+ 😀😀33+ zeroo wewe 40+ ndio amen hapa town wamejipanga kimwili kiakili na wanajielewaa
Wazee Hawa wanandevu bossy wangu ananyoa hadi kule ??I hope wazee unamaanisha hawa hapa eti enhView attachment 2490304
YesAisee 40+ 😀😀