Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Hii imekaa kiupande m'moja sana, kuna upande wa uharibifu hapa haujaongelea. Sidhani kama ni sawa kwanza kudeal na watu waliokuzidi umri.

Mtu ameshatumia ujana wake halafu uzee ndio aje kutumia na wewe?!

Hapo me nadhani unakuwa na lengo la kufaidika kiuchumi tu na si vinginevyo.
Na kupata ukimwi. Malizia komredi 😊👍🏾
 
Hivi binti kutoka na mwanamume mwenye 50+ anafuata mapenzi au pesa tuseme tu ukweli
Pesa kaka.

Tena pesa zinazotolewa bila hata kuhoji... na ana mke nyumbani lakini hakuwahi kupata bahati hiyo kutoka kwa mumewe wa ndoa.

kuna mzee mmoja alikuwa kitengo serikalini. Ilikuwa ndo michezo yake. Anahonga sana vibinti pesa na vidogori ila wanae hali ngumu.

Mabinti wa mjini wakawa wanampa michezo adimu mwisho wa siku akapata na ngoma. Saiv anauguzwa na mkewe 😊👍🏾

#watuwazimamujifunzekituhapa
 
Sasa nawashauri.

Humu JF Kuna wazee, msifanye mioyo kua migumu

Tunao Uwezo wa kulana humuhumu sisi wenyewe.

Au nasema uongo Ndugu zangu?

Uzi unaandika humu JF..alafu papuchi inalliwa namtu hajui hata JF
Hahahah watag basi hao elders wa jf tuwajue tuwafikirie
 
Pesa kaka.

Tena pesa zinazotolewa bila hata kuhoji... na ana mke nyumbani lakini hakuwahi kupata bahati hiyo kutoka kwa mumewe wa ndoa.

kuna mzee mmoja alikuwa kitengo serikalini. Ilikuwa ndo michezo yake. Anahonga sana vibinti pesa na vidogori ila wanae hali ngumu.

Mabinti wa mjini wakawa wanampa michezo adimu mwisho wa siku akapata na ngoma. Saiv anauguzwa na mkewe 😊👍🏾

#watuwazimamujifunzekituhapa
Wangu ashatengeneza maisha ya wanae na mkewe siku nyingi sana. Good thing ni mtalaka...so nitake mimi tu ndoa au kula bilq ndoa
 
He's so lovely yaani. Sio mbaba sana lakini😅😅😅
Kiufupi married men wanajitambua angalau.
Sio wanajitambua 😊

Hapati raha na amani kwenye ndoa yake. Wewe upo kama chombo cha faraja tu.

Imagine na wewe ndo ungekuwa unaibiwa mumeo nje kwa kupewa faraja na mwenzio, inamana wewe ni useless! Imagine maumivu yake na huenda mwanamke mwenzio kule hana chochote anachopewa lakini haki yake yote unaizuia wewe. Kaa ufikirie maumivu yake

#KarmaIsReal
 
Hahahah watag basi hao elders wa jf tuwajue tuwafikirie
Aahhh nyie msifanye mioyo kua migumu, watajaa huko JF

Kuna Bidada wa Makamo humu Mzuri Haswaa namfukuzia ila hajibu PM zangu kabisaa yaan hajibu, nilishamtumia PM labda zaidi ya 30 hajibuuu.

Namm simkatii tamaa
 
Back
Top Bottom