Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Yote saba, la muhimu ni point number 5. Kuwa hamtaki kutupa sie vijana mbususu zenu kwa kuwa tunapeleka moto mpaka zinafuka moshi.
 
Huyu yeye akaleta pigo za kutaka nianze kumtongozaa ,yaan nitongoze mwanamke wa miaka 34?? Haiwezekan, tunaongea kiutu uzima ukielewa nielewe .

Baadae alinielewa , akahisi nmekasirika .

Papuchi ni muda wowote !!

View attachment 2492725View attachment 2492726


ALAFU ANAJIFANYA HAJAWAHI KUTIANA NJE YA MUMEWE 🤣🤣🤣

DUNIA INA VISA KWELI JAMAN
Ukimtongoza aseme unamdanganya 😂😂 mkuu umetisha
 
Huyu yeye akaleta pigo za kutaka nianze kumtongozaa ,yaan nitongoze mwanamke wa miaka 34?? Haiwezekan, tunaongea kiutu uzima ukielewa nielewe .

Baadae alinielewa , akahisi nmekasirika .

Papuchi ni muda wowote !!

View attachment 2492725View attachment 2492726


ALAFU ANAJIFANYA HAJAWAHI KUTIANA NJE YA MUMEWE 🤣🤣🤣

DUNIA INA VISA KWELI JAMAN
Game yako ni bampa to bampa hupoi, Playa!
Huyo kashalika no missing out.
 
Back
Top Bottom